mishe bwoy
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 116
- 34
Natarajia kumaliza Form 6 keshokutwa mwez wa tano na ningependa kujua kama DIT kuna faculty ya Information nad tecnology kwan ndio malengo yangu kusomea na nimeenda kwenye website yao cjaona hiyo facult.
Ila kuna mtu aliniambia ipo pale wanafundisha jadi Degree...ninivosikia DIT ukitoka pale upo Deep mbaya tofauti na vyuo vingine....na naomba ushauri kwa uamuzi wangu wa kusoma IT.
Ila kuna mtu aliniambia ipo pale wanafundisha jadi Degree...ninivosikia DIT ukitoka pale upo Deep mbaya tofauti na vyuo vingine....na naomba ushauri kwa uamuzi wangu wa kusoma IT.