Kwa wale wanaojitafuta🤔🤔🤔

"Kujibana matumizi wakati wa kutafuta mafanikio ni jambo la busara, lakini si kila ushauri unafaa kuigwa. Akiba, nidhamu na kufanya kazi kwa bidii ndivyo hujenga maisha. Matusi na kudhalilisha wengine haviongezi thamani ya hoja."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…