Kwa wale wanaohitaji asali mbichi

Kwa wale wanaohitaji asali mbichi

Joined
Feb 7, 2018
Posts
32
Reaction score
3
KWA MAHITAJI YA ASALI MBICHI YENYE UBORA WA HALI YA JUU NA HALISI KWA 100%
INAYOITWA JANE&SON HONEY ILIYOVUNWA KUTOKA WILAYA YA KISHAPU INAYOTOKANA NA MAUA YA MITI YA MIHALE NA MIGU TAFADHALI NITAFUTE KWA 0787238867
ASALI MBICHI NI MAHUSUSI KWA AJILI YA KUBORESHA AFYA KWA WATU WOTE.NI NZURI KWA WATOTO WA SHULE NA WAZEE.TUNAO UJAZO WA 320G,500G NA KILO1.BEI KUANZIA SH 3500/ HAD SH 10,000/ NIKO SHINYANGA MJINI ILA MIKOA YOTE NATUMA KARIBUNI SANA
 
MIE NAUZA ASALI APA SHINYANYANGA BEI NI SH 6,000/=.NAOMBENI MSAADA MWENYE KUJUA SOKO LA ASALI MBICHI KWA BEI NZURI IWE NDANI AU NJE YA NCHI.
 

Attachments

  • asali2 015.jpg
    asali2 015.jpg
    44.1 KB · Views: 93
Asali inapotumika kama chakula,mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamini za kutosha ambazo zinapatikana kwenye asali nazo ni protini na vitamin B1,B2,B5,A1 na C virutubisho ambavyo ni muhimu kwa ustawi wa afya ya mwili wako kwa ujumla.

Enyi wana jamii wote wanaohitaji asali nipigie 0787238867
 
ASALI unawezaje kutumia kama chakula ninaambiwa ukiweka kwenye cha au uji au chakula chochote chenye joto tayari ASALI inaharibika na kutengeneza sumu kwa anaejua atuelimishe kidogo hapa tusiojua
 
kwa wale wanopenda kula mkate unaweza kupaka asali badala ya jamu,pia unaweza kukoroga asali katika glass ya maziwa,kwa wale wanaopenda kula ugali na asali kwakutolezea kama mojawapo ya mboga kwa ujumla yapo mengi niwewe utakavyoaamua kuitumia
 
Utashangaa sana kwamba ASALI ndiyo kila kitu katika kufanikisha urembo wako,CHUKUAasali mbichi kijiko kimoja cha chai kisha paka usoni kaa nayo kwa dk 15 kisha safisha uso wako.
Matokeo baada ya wiki 2 itasaidia kulainisha ngozi yako na kuonekana nadhifu

Enyi wanajamii wale wanaohitaji asali mbichi bei shs 10,000/= kwa kg 1 nipigie 0787238867
 
Wengi hawajui faida za kutumia asali kama chakula wanadhani ni kwa ajili ya dawa tu,
 
Amin usiamini siku ukianza kutumia asali kwa ajili ya urembo wa ngozi na nywele utajutiafedha uliyotumia kwa vipodozi vingine
 
Amin usiamini siku ukianza kutumia asali kwa ajili ya urembo wa ngozi na nywele utajutiafedha uliyotumia kwa vipodozi vingine
Mkuu ina maana nikipaka kichwani nywele zitakuwa kama za musungu kutoka burazili?
 
Changamkieni asali inapatikana kwa wingi Mpanda, Kaliua na Uyui bei ya jumla dumu la lita 20 ni Tshs 50,000 au 60,000 ikipanda. Ingawa asali ya maeneo wanakolima Tumbaku kwa wingi haina radha nzuri kwani nyuki walitumia maua ya tumbaku so hata kwenye soko la dunia ni kimeo. Karibuni
 
Kwenye nywele unachukua kijiko kimoja cha chakula unachanganya na kijiko kimoja cha mafuta ya olive kisha weka kwenye nywele FUNIKA kwa taulo lenye maji ya uvuguvugu kwa dk30 baadaye osha kwa shampuu utaona matokeo
 
Kutokana na uzito wa asali inauzwa kwa kipimo cha uzito(weight) na sio ujazo(volume) mahali pote hata duniani
 
Habari wadau wa biashara

Tunauza ASALI MBICHI na haijachanganywa na kitu chochote.
OFA zote za bei zinapatikana kwangu tu kwa wanunuzi hivyo
MTEJA anayetaka ODA YA ASALI KWA WINGI ANAKARIBISHWA.

TUTAMUUZIA BILA SHIDA YEYOTE,JIPATIE ASALI POPOTE ULIPO.
MIKOA MINGINE NATUMA KWENYE BUS.

TUNAPATIKANA SHINYANGA MJINI,OFISI ZETU ZIPO MAJENGO MAPYA
WASILIANA NA MKURUGENZI WA JANE&SON HONEY 0787238867
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom