Kwa wale wanaofahamu mishahara kampuni melt group ya mwamed interprise

Mud akukukipa Sana Mia nne itabid ujilipue umuibiee tu
Na wanamchapa balaa,kuna jamaa angu alikua sales supervisor huko nyanda za juu kusini,mshahara ndio huo laki 3,jamaa akawa anafanya magumashi yake,akawa hakosi mia tano ya magumashi kila week ,mpaka wakaja kushtuka jamaa ana nyumba yake kali na ndinga ya kutembelea ndio wakamfukuza eti.
 
Back
Top Bottom