Kwa wale wanao tumia barabara ya tunduma mbeya

LimepatA ajali au kaka wa majambaz ameisha fanya mambo?
Lilifeli brek kwenye sehemu inaitwa Nanyala alivyo fika hayo maeneo kuna mrima gari ikashindwa kupanda nakuanza kurudi nyuma dereva akafanya maamzi kabla haijachanganya akaikata saba
 
Back
Top Bottom