Kwa wale waliowahi kutoa mahari halafu wakatamani/wakaingia mitini

Mpe pole,lakini nafikiri anaweza kumpa second chance uyo msichana..huenda alijiengage na hao wanaume for security sababu aliona yeye(mwenye stori) haeleweki.

Wanawake wana iyo tabia sana ya kuseek security hasa wakiisi wataachwa..na icho kilanga cha kuinstall spy application sio mpango

Aongee nae amsikilize.l na yeye bibi harusi mtarajiwa anasemaje.
eti security ! ku cheat siku hizi mnaita security
 
Thanks mkuu, nitalifanyia kazi hilo, ila nawaza nitaanza vipi kutoa taarifa?? au nikae kimya tu?
Kwanini ushindwe kutoa taarifa mkuu?Mimi mwanamkke wangu alicheet na akakiri kosa.niliyafikisha kwao na nipo nae.siku nikiona bado anavidalili tuu vya kuendelea na tabia hiyo hata nisipohakikisha anaondoka mazima.simuheshimu tena kama mwanzo..
 
wewe umeoa kama huyo?! katika situation kama.hio..?! hatukatai mapungufu ..je mapungufu ya kutembea nje ya ulie nae ni ya kuvumilia kweli?, hao wengine kama wana ukimwi, kisonono, kaswende, kwaio aendelee nae tu sio?!
umesahau kumalizia na empty set
 
Kwanza pole sana;

Pili unapotaka kuo mwanamke isipokuwa kwa sababu za kiufundi usikae nae katika uhusiano kwa muda mrefu sana.Sababu za kiufundi ni kama vile masomo,umbali,muda mchache wa kuonana na vitu kama hivyo.Pili kama mwanaume unatakiwa uhakikishe kuwa unapoamua kumuoa binti basi uwe una taarifa kamili na cha muhimu sio mahari,wala ndoa ya kikiristu wala hizo mambo za spy app.Cha muhimu ni utayari wa huyo binti pamoja na wewe kukaa pamoja na kuyajenga.

Mimi binafsi napenda zaidi kufanya test drive,yaani kama mwanamke anataka ndoa na mimi basi anakuja tunaishi tunatibuana tunajuana kisha katikati hapo nikiona ulazima basi natangaza ndoa tunalipa mahai pamoja na faini.Mwanamke akiniletea habari za ooh uzinzi oo ndoa kwanza ooo sijui vijikanuni vingi basi ujue huyo hakufai.Wanawake ambao wanamasharti mengi kwako basi ujue hawajafall vizuri yani inshort ni kwamba haqjakupenda vizuri ndo maana anaweza kukupa masharti.

Sasa ndugu umeshalipa mahari,kwa mila za kwetu huyo sasa ni mkeo,kwa kuwa umeona hizo tabia za ajabu kwanza mchane live ajue unajua kisha mwambie sasa hufungi ndoa ya shela na kahaba na kwamba inabidi aje kwako muyajenge,ukae nae umle mpaka akuzalie mtoto mmoja ukiona kama anafaa bado basi nenda naye altareni ukiona bado hajawa na utulivu basi utajua cha kufanya.Ili NAKUONYA USIENDE MADHABAHUNI NA MTU AMBAYE HUMUAMINI
Kiongozi umemaliza kila kitu, aisee!!!
 
Wewe siyo muowaji, wenzio tumeowa mengine tunamuachia Mungu, mimi hata simu ya mke wangu sigusi.

Haya maisha yalivyopinda badi nijitwishe na stress za mke? Hapana kwakweli.

Mimi buashara ya kumchunguza mwanamke sifanyi.
ukisema hivyo unakosea, huwezi oa tu ili ujulikane eti kuwa una mke, ndoa inapaswa kuheshimiwa
 
Kwanini ushindwe kutoa taarifa mkuu?Mimi mwanamkke wangu alicheet na akakiri kosa.niliyafikisha kwao na nipo nae.siku nikiona bado anavidalili tuu vya kuendelea na tabia hiyo hata nisipohakikisha anaondoka mazima.simuheshimu tena kama mwanzo..
Jiassess ulipungua wapi hadi akacheat
 
Naidhamin nafsi yangu kuliko maoni ya walio nje ya NAFSI yangu..hususan ktk mahusiano na bajet, kwa hapo maharu nikitu kidogo kuliko aman ya uhai wako ndan ya ndoa, huyo mke ana matatizo mengi kwa mujib wa tamthilia hiyo, huwez kuwa na spare kisa muda wangu hauendani na wako, muruhusu aende kwa hao Wengine...njoo nikupe dem wangu hana tatizo lolote..tatizo liko kwa SITAKI KUOA..
asante mkuu,,, hahahaaa, ukinipa wako wewe je!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom