Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Tumsifu Yesu Kristu.......... jamani mpo na maisha yanaendaje ebu tukumbushane yale maish8a wakati ule tupo kitaluni kule seminarini, mambo ya masifu ya asubuhi, misa takatifu, joint masses n.k. Hakika nimeyamisi sana yale maisha visiga seminary,st.peters seminary,st.james sem,uru seminary,maua seminary,likonde sem,stella matutina(ligano),kasita sem,don bosco sem,bihawana sem,lubya sem,itaga sem...n.k...na enzi zetu nakumbuka tokeo la form four na form six yani seminary zilikuwa ziking'aa...nimekumbuka sana seminar´..


Nipitia posts zote sijaona wale wa SANU Seminary (St Joseph Mbulu).
Vipi huko kukoje?
Nilipita pale for 6yrs enzi za Rector Fr. Bilos (RIP),. Kweli maisha yale ni tofauti kabisa. Wapi Sr Bondia?
 
kaka Jangakuu unakumbuka enzi za kubundi za kuja na machano pale VISIGA SEMINARY tutamkumbuka sana marehemu FR.MAMBO
Kwani maisha ya pale yalikufanya mtu uishi ktk mazingira ya uwoga kama hujiamini
 
Last edited by a moderator:
1387626835351.jpg
Mseminari mwezetu the late Cardinal Laurean Rugambwa.. enzi akiwa seminary ndogo
 
Shule za mchangani hizi hatutaki majadiliano yenu wezi wa mitihani

ha ha ha jamani waseminari wenzangu ule msuli tuliokuwa tukipiga na kwa jinsi tulivokuwa tukimwomba Mungu atusaidie tufaulu leo hii huyu jamaa anasema tulikuwa tukiiba mitihani na hiyo haitoshi wengi wa waseminari walioenda shule za serikali kwa form 5 na 6 walikuwa wakitoka na matokeo mazuri mno je hao pia waliiba...usiongee usilolijua...na hii ni thread ya waliosoma seminari tu sasa ww na sekondari yako kaa kando..
 
Dar napamisi sana st.maryz MBALIZI seminary pale MBEYA,,,,,,chini ya baba Gombera KISWAGA,,,,,,,,padre Mwajamila yan ful ubabe,,,,,kutoroka kwenda mapelele,,,jiti na iwanga,,,,sunspension 3 yani niligraduate kimagumashi sana
 
tatizo la waseminali wakihasi na kuingia uraian na phillosophy zao, kuwaelewa ni kazi sana..........
Usiombee mseminar akaangukia kwenye totoziiiiiii ..........hata ufunge speed gavana haitosaidia
 
Nipitia posts zote sijaona wale wa SANU Seminary (St Joseph Mbulu).
Vipi huko kukoje?
Nilipita pale for 6yrs enzi za Rector Fr. Bilos (RIP),. Kweli maisha yale ni tofauti kabisa. Wapi Sr Bondia?

tupo kaka, mi nilipita pale enzi za rector fr. CELCIUS MUGONZA, alivyokuwa anatisha unatamani usikutane naye, nawakumbuka fr. ligogo(RIP), Fr. rahhi, fr. macha, fr. joseph, fr. uhuru.
 
mi kwakweli naishukuru sana kanisa kwa kunifunza mengi kupitia maisha ya seminary, bila seminary nadhani nisingekuwa hv nilivyo leo, tulikuwa tunalima achaa! mazingira mazuri ya kusoma na mengine mengi. fr. yetu fr RAHHI alikuwa very bright alituambia alipata SUMMA KUM LAUDE seminary kuu,... vijana wa seminary tumeiva kitawidi zaidi.
 
Back
Top Bottom