Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Niliwahi kwenda maua seminary jamani ni pazuriiiii
Halafu kuna matunda ya kila aina hali ya hewa nzurii waeza fikiri ni sehemu tofauti na kilema very unique..
I wish my son asome seminary watu wote naowafahamu wamesoma seminary wana maisha mazuri sana
Hongereni wote mliobahatika kusoma seminary
 
Bila hiyo ni Rubya seminary
seminary sio me naona walinihalibu tu, kufungiwa ndani sana, pale nilipokuwa kwenye makundi ya watu wengi walinitambua ni product ya seminary bila hata kuuliza.. Nakumbuka nilipokuwa form one vijana wa form four walitimuliwa wote bila hata huruma, basi mwaka huo hapakuwa na form four wahitimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta Uzi unaanzaje kuisahau St. Mary's Seminary Nyegezi. Seminari iliyopo Jijini kabisa?

Fr. Renatus Nkwande na leo Askofu wa jibmo la Geita, ni kati ya mapadri walionivutia sana alipokuwa Rector pale St. Mary's Nyegezi Seminary. Mwenyezi Mungu amjalie maisha marefu katika maisha yake ya utume.
 
ha ha ha jamani waseminari wenzangu ule msuli tuliokuwa tukipiga na kwa jinsi tulivokuwa tukimwomba Mungu atusaidie tufaulu leo hii huyu jamaa anasema tulikuwa tukiiba mitihani na hiyo haitoshi wengi wa waseminari walioenda shule za serikali kwa form 5 na 6 walikuwa wakitoka na matokeo mazuri mno je hao pia waliiba...usiongee usilolijua...na hii ni thread ya waliosoma seminari tu sasa ww na sekondari yako kaa kando..
Halijui asemalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dahh..mkuu..kuna jamaa mmoja alikuwa mwanaharakati sana alikuwa akiitwa Flondu,duzu,mponda,kipemba n.k.huyu chalii flondu(ndunguru) aliendaga mlimani chuo kikuu akawa mwanaharakati sana wakati ule aisee wakala kichwa(walimwekea incomplete)waliona atakuja sumbua ila alisaidia sana ktk mgomo wa kupandisha boom hadi 7000...huyu jamaa yupo wapi dogo mana nilimwacha hapo sps niliondoka 2004 form four....nilimfuatilia sana harakati zake cjui kwa sasa yuko wapi huyu jamaa´.
shkamoo Baba


2011-2014 n mimi niliishi SPS
u e
deserve to be my father sio kwa uhenga huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuition watu wanaenda kwa mkumbo tu imekuwa kama fasheni lakini siku hizi wanaona kama wanachofundishwa seminarini Bado hakitoshi

Tumbo ndio Linalotembea,Miguu ni Mikongojo tu.
Enzi hizo ukija na material yako ya tuition, yafiche huko unakojua wewe yasionekane maana ulichofundishwa kilitosha na pia mzingira na vitendea kazi vya kujifunzia vilitosha kabisa, kuanzia, Library, Maabara, mabweni n.k. na tulishuriwa ukienda likizo ni muda wa kupumzika sio kusoma, na watu walifaulu, sijui siku hizi kuna nini kimetokea maana ufaulu ni wa kawaida.
 
Back
Top Bottom