kwa wale walioshinda na stress

kwa wale walioshinda na stress

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,991
Reaction score
831,557
Mwaga nyongo yako Hapa upate ahueni ukalale kwa amani usiweke kitu rohoni utakufa na kihoro ,haya twende kazi ila usitukane
 
moyoni ndo huko nimetolewa, yeye atanihifadhi wapi? (waza na hili)

Achana na hao watoto wa mtaani, njoo nikutie mfukoni. Nina akaunti ya akiba BoT, na Current account zangu zipo Zurich. Umewahi kupanda helikopta weye?
 
je wewe ushafanya hivo?

Loh tayari mbona tangu saa kumi saivi nna amani! Bajeti ilinichanganya mno walevi tumezidi kukamuliwa vimkoko vyetu navyo road license juu petrol nayo tutachangia sh 50 kwa litre kwa ajili ya umeme vijijini
 
Kumbe ndo bei yako hiyo, jhilile kumyako, kwako, ughwe bhuka, akumbuula.

Sasa we mbona unaanza umbea ndugu yangu, sasa unamwambia nini tena kwa kilugha mwenzako anataka faraja. Na wewe kausha nitakupa trip uende Merekani ukatalii Great Grand Canyon na mkeo. Una watoto wengi?
 
Hamna maumivu kama kuachwa. Niliachwa ninashinda na mawazo vibaya nyumba nzito sipati usingi sina ham ya kula mpaka maisha nimeyachukia.
 
hamna maumivu kama kuachwa. Niliachwa ninashinda na mawazo vibaya nyumba nzito sipati usingi sina ham ya kula mpaka maisha nimeyachukia.

mie mwenzio kuanzia leo sitaki tena kusikia habari za mapenzi!!
 
Back
Top Bottom