Nimeangalia hii post kumbe ya mwaka jana 2017 , nilitaka kushangaa mwaka huu kwa wanafunzi wa udom admission letters zinatolewa katika system mliyotumia kuomba chuo , waliochaguliwa round ya kwanza tayari wamepata , round ya pili watapewa matokeo ya round ya tatu yakitoka .