Kwa wale waliochaguliwa SUA tuonane hapa

Kwa wale waliochaguliwa SUA tuonane hapa

Ikimbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
301
Reaction score
32
Wapendwa karibu sana Sokoine University of Agriculture. Mimi naingia mwaka wa pili kwa yeyote mwa kwanza naomba wa kunibeba yaani tutumie kitanda kimoja awe wa kiume kwa atakae kuwa tayari nitamrudishia nusu ya gharama alizolipia. Kwa maelezo zaidi na namna chuo kilivyo tuwasiliane kwa 0655422526. Bip na tgo utapigiwa. Mjiandae na Screen test.
 
iyo screen test ndo nn..na accomodation inakuaje..me ndo naingia first year..
 
nipo tayar kukubeba lakini kwa shart moja...utalipa accomodation fee kwa semista zote mbili..got t,?
 
oy! Mimi nahitaji kufanya transfer kuja hapo SUA nipeni ushauri nifanyaje kukamilisha transfer?
 
Back
Top Bottom