Kwa wale waliochaguliwa mzumbe

Kwa wale waliochaguliwa mzumbe

Kuna ambaye anaweza kulog In kwenye acount yake ya mzumbe ya application/admission?
 
We nenda kwenye web page ya mzumbe ingia aris
 
Kuna ambaye anajua amepata hosteli ama laa! Unaangalia vp?
 
Back
Top Bottom