samuel Stuart
Member
- Jun 16, 2017
- 46
- 14
- Thread starter
- #21
Unajua dharau na matusi pindi mtu anapo omba ushaur ni maamuzi ya msikilizaji mwache afanye hivyo Evelyn maana ni utash wake
Hahahaa ndio njiaa ambayo wewe ulitumia mkuuJifanye chizi kwa kukaa uchi mara kwa mara.
Mwambie asiombe bwawaDuh utajauliza na namna ya kum.....
Njia ya bondeni ni salama zaidNinapo taka mke nitumie njia gani ili kufanikiwa
Tazama kwa macho yako yote mawili na jiridhishe kwa akili,moyo na matamanio ya mwili wakoNinapo taka mke nitumie njia gani ili kufanikiwa
Duh hii njia kiboko.Jifanye chizi kwa kukaa uchi mara kwa mara.
Hahahaa ndio njiaa ambayo wewe ulitumia mkuu
Hahahhhahahahhahaha ila humu watu hawako serious mda mwingineJifanye chizi kwa kukaa uchi mara kwa mara.
Hahahhhahahahhahaha ila humu watu hawako serious mda mwingine
Du[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna njia nyingi mkuu. Mwenzio Nilitumia archimedes principle
Kila mtu anatafuta ambacho hanaTafuta hela acha ujinga