Kwa wale walio oa na kuolewa

Kwa wale walio oa na kuolewa

Huna aliyeukonga moyo wako mpaka sasa...!??

Akitokea usisite kumwelexa ukweli. Over.
 
Tafuta ambaye unampenda na anakuvutia, anagalia vigezo vyako unavyovipenda kwake (kama elimu, kazi, etc) na anagalia Familia anayotokea kama ni wacha Mungu (kigezo muhimu sana)
 
Mmh. Huwa sidhani kama kuna njia ila nionavyo huwa inatokea tu unapata mtu ambaye anakushawishi kwa kila kitu chake ambapo unakuwa huna jinsi zaidi ya kufuata taratibu zinazotakiwa ili awe wako wa milele.
 
Back
Top Bottom