Kwa wale wachumba hasa ambao mnasubiri ndoa...

Kwa wale wachumba hasa ambao mnasubiri ndoa...

Wengi huwa hawapendi sana kusikia jibu kama hili, sijajua shida ni nini. Wapo wadada na wakaka wamejitunza vizuri tu. Na Mungu akikujalia ukapata mume ambaye naye hajawahi jihusisha na wanawake na mwenye hofu ya Mungu NDOA inakuwa nzuri mno. Mnajifunza wote, hata kujifunza tu pamoja kunakuwa pia jambo zuri na la kuvutia.

Na jambo kubwa kuliko yote yaani kichwani mnakuwa hamna kumbukumbu za watu wengine.
Daah aise samahani mkuu sikuiona hii ndiyo naiona leo, nashukuru sana kwa hii comment yako iliyojaa positivity and yes Amen to that.
 
Back
Top Bottom