Kwa wale wachumba hasa ambao mnasubiri ndoa...

Shafati

New Member
Joined
Sep 24, 2019
Posts
1
Reaction score
2
Kwa wengi tendo la ndoa ni kitu kinachoendesha au kinachukua sehemu kubwa ya mahusiano yao.

Je, kwa wale mnaosubiri hadi ndoa mnafanya nini ili kufanya mahusiano yenu yawe moto moto muda wote?

Ni kitu gani kinawafanya muendelee kwenye safari ya uchumba hadi kufikia muda ambao mmepanga kufunga ndoa?

Nawasalisha
 
Umempenda msichana unaposa, wamekukatalia unamove on kapoteza bahati, maswala ya uchumba ni form 2 huko. Usipoteze mda wako na wewe msichana usikubali kuwa uwanja wa mazoezi, kakupenda mwambie aje kuongea na wazazi.
 
It's impossible to use before well shaking...
Ebu nenda ukatafute sheria inayo elezea hizi mambo
 
Je, siku ikitokea ukasubiri hadi baada ya ndoa then ukakuta kitobo tu...!!??
 
Kama wote sio mabikira mnakuwa mnasubiri nini sasa, yaani ubikiriwe huko halafu nitake puchi unibanie mpaka ndoa?
 
Kinachowaweka karibu na kuufanya uchumba uwe mtamu ni UPENDO. Na mnajenga mawasiliano mazuri, mnaonana na kuongea mawili matatu ya kujenga future yenu, mnapeana zawadi. mnatiana moyo katika vipindi mbalimbali . Kwa namna hiyo uchumba unakuwa MZURI mno.

Na haya maisha ya UPENDO huu wa kipindi cha uchumba HUONGEZEKA zaidi mnapofikia siku ya kufunga ndoa na katika maisha ya ndoa kwa ujumla.
Na Honeymoon huwa ina kuwa na MAANA sanaaaaaaaa!!!!!!
 
Wengi huwa hawapendi sana kusikia jibu kama hili, sijajua shida ni nini. Wapo wadada na wakaka wamejitunza vizuri tu. Na Mungu akikujalia ukapata mume ambaye naye hajawahi jihusisha na wanawake na mwenye hofu ya Mungu NDOA inakuwa nzuri mno. Mnajifunza wote, hata kujifunza tu pamoja kunakuwa pia jambo zuri na la kuvutia.

Na jambo kubwa kuliko yote yaani kichwani mnakuwa hamna kumbukumbu za watu wengine.
 
Sio hawapendi

Ila hali halisi ya maisha ndo inabadilisha watu
 
Wengi huwa hawapendi sana kusikia jibu kama hili, sijajua shida ni nini. Wapo wadada na wakaka wamejitunza vizuri tu. Na Mungu akikujalia ukapata mume ambaye naye hajawahi jihusisha na wanawake na mwenye hofu ya Mungu NDOA inakuwa nzuri mno. Mnajifunza wote, hata kujifunza tu pamoja kunakuwa pia jambo zuri na la kuvutia.

Na jambo kubwa kuliko yote yaani kichwani mnakuwa hamna kumbukumbu za watu wengine.
Yeah, Sure.
 
Back
Top Bottom