badface_kay
Member
- Mar 4, 2017
- 18
- 2
Jamani kwa wale wa sua ambao mmekua admitted kwa mwaka wa masomo 2017/2018 au ambao wanaendelea naomba kuuliza eti semister ya kwanza gharama zipoje yan ada na mengneyo msaada tafadhalin ndugu mana hata sielew tu