"KWA WALE WA MZUMBE( mbeya campus) JAMANI MSAADA,,,,,,,,,,," | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"KWA WALE WA MZUMBE( mbeya campus) JAMANI MSAADA,,,,,,,,,,,"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tchid vumba, Sep 26, 2012.

 1. tchid vumba

  tchid vumba New Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninaomba kuwauliza jamani hivi hostel za mzumbe mbeya campus zinajitosheleza kulingana na idadi ya wanafunzi waliochaguliwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kwa anayefahamu jamani ninaomba msaada,,,,,,,,,,,,,,,,,,
   
 2. l

  lusuadam Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndugu yangu, hostelli za mzumbe hazijitoshelezi hata kidogo. Kwa makisio yangu zinachukua not more than 30% ya wanafunzi wote wa Mzumbe mbeya campus College. na mwaka huu wa masomo kuna kozi mpya 13 zinaongezwa, nyingi kati ya hizo ni full time courses. Kwa hiyo ndugu yangu ujaribu kuja mapema kutafuta makazi mapema, endapo waja huku
   
Loading...