ndio maaana mafanyakazi mengi yakisitafu yanakuwa masikini ya kufa mtu sababu kama hizi linachezea mshahara kuchezea mshahara ni sawa na kufanya kazi bure kwa mwajili siku zinaenda umri ndio huo full vituko
Kula Papuchi ndio unakuwa Maskini. Utajiri ni akili ya mtu .unaweza uwe mstaarabu na umaskini ukakutawala. Dada wengi wanaliwa na mamtu yenye pesa. Limepark krugger, Prado linachukua dada poa linasepa nae.