kwa wale wa enzi ya mwalimu

duhhhh.Kitabu cha zamani hicho.Je una cha Juma na Roza?
 
Reactions: awp
Looh enzi zile.
Brown ashika tama, Jogoo aliyesema, Sizitaki mbichi hizi nk.
 
Reactions: awp
Mr Daud, Mrs Daud, Musa, Neema and Baraka; ilikuwa raha sana.
 
Reactions: awp
"Mr. Kapufi is a veterinary officer in our district.........."
 
Reactions: awp
bas me nlkuaga nacreate vitu kichwan adi nyumba yao nkijua n familia ipo kwel2
 
Enzi hizo elimu ilikuwa nzuri. Hadithi za vitabu hivyo zilikuwa nzuri. Walimu walikuwa wazuri ingawa wengi hawakuwa na elimu kubwa, hata hivyo walikuwa na maarifa na kujua jinsi ya kuishi na wanafunzi. Sasa mambo yamebadilika sana. "Old is Gold" wanasema Wakoloni.
 
Reactions: awp
tulifaidika sana, sasa imebaki simulizi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…