Kwa Wale wa CPA(T)

bwana rosem,,achana Na huyu jamaa,nimemfanyia research kwa mda mfupi,,kuna thread nimekuta kakoment akiomba kujua nn maana ya cpa Na acca,, hii inamaanisha asingekua Na la kuchangia kwenye hii thread. ukitaka kuamini tembelea profile yake,, kwa hiyo usipoteze mda wako kumfikiria,,
 

Ma best student ni matatizo huku kwenye kazi kwanza hawajui kitu halafu wanadharau hata kwa waliowatangulia kazini kwenye kampuni yangu mi huwaga hawadumu, lazima utawafukuza tu maana wanakera
 

Acha dharau wewe.
 
Huwe na first class uwe na pass uwe best student uwe worst student NBAA wana sheria zao as long as hukusoma B.com Accounting lazima uanze module B au C ni wahitimu wa Bcom Acc pekee kwa Udsm na Udom ndio wana exemption kuanza kusoma module E awe na pass awe na first class sawa tu. Kwa vyuo km Muccobs wale wa BAAF kwa Mzumbe wale wa BAF wa Saut wale wa BBA in Acc na Tumaini pia na vyuo vingine kama CBE n.k, kila chuo kina kozi moja yenye background ya account ndio ina excemption ya kuanza module E i.e final the rest Bcom Finance, economics n.k lazima mpurukushane huko chini
 
hapana mkuu,,,niko apo apo mlimani naendelea Na mba,,,bado nahitaji cpa,,,nilishindwa kugawanya mda

Ningekushauri ufanye kaz dogo wkt unasomea cpa...kwa case yako it will take u more than two years .....experience matters...ukimaliza hio mba na cpa with zero work experience then what?!!
 
Ndg. Hata kama ungekuwa na first ya 5.0, Bado utaanzia chini..
 
Cpa hainaga gpa my friend,kuna watu gpa km zako hawajachomoa,na wengine 2.7 wamezipata,
cha msingi u-meet requirement za NBAA na USOME SANA,naona ni bora uanze na syllabus mpya november,utakuwa na 15 papers badala ya 20 za sasa..saivi muda umeenda watu washaanza review classes,ungeanzia module A
 
nakushaur fanya mba acha na cpa utazeeka apo from module a to F tafuta ela au fanya kaz uku unazisogeza ili opportunity cost ipungue ol da best
 
halafu utakuwa ni muhaya wewe , maana unajifagilia hatari!!
 
halafu utakuwa ni muhaya wewe , maana unajifagilia hatari!!

mti wenye matunda ndio upigwa mawe. Kwa nini husisema ni mgogo au muha. Au unawajema kwa kuwa wamechagua chaguo lililo bora? (elimu)
 
mti wenye matunda ndio upigwa mawe. Kwa nini husisema ni mgogo au muha. Au unawajema kwa kuwa wamechagua chaguo lililo bora? (elimu)

kwanza kabla ya yote wewe inaonekana sio mtanzania maana hata kiswahili hujui.. pili, hayo matunda ni matunda gani labda maparachichi! haya na wewe tupe kiwango cha elimu yako basi.
 

Dada angu wabongo ni kawaida yao dharau. Mie nimesoma finance and investment planning mipango,nimejiajiri nina kampuni ya kandarasi,nimeajiri engeeneers,nawalipa. Nipo sumbawanga. Heshima pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…