Kwa Wale wa CPA(T)

Kwa Wale wa CPA(T)

bwana rosem,,achana Na huyu jamaa,nimemfanyia research kwa mda mfupi,,kuna thread nimekuta kakoment akiomba kujua nn maana ya cpa Na acca,, hii inamaanisha asingekua Na la kuchangia kwenye hii thread. ukitaka kuamini tembelea profile yake,, kwa hiyo usipoteze mda wako kumfikiria,,
 
mkuu hapo umekosea sana,,,cjakosa ajira kabisaah,,,nlivomaliza nlikuwa best student pale cass,,niliombwa nibaki Na department mbili,,department ya economics Na department ya finance kule udbs niwe t. assistant ila nilikataa,,nimeitwa sehem kibao ila nimeona niendelee kwanza Na elimu,,,siyo kila anayeomba ushauri kakosa ajira # obama wa bongo

Ma best student ni matatizo huku kwenye kazi kwanza hawajui kitu halafu wanadharau hata kwa waliowatangulia kazini kwenye kampuni yangu mi huwaga hawadumu, lazima utawafukuza tu maana wanakera
 
haaaaaaaaaaaaa!hapo ndio unaona uzuri wa kuwa na elimu ya taaluma(proffesional) tofauti na elimu ya shahada(degree) ambayo sometimes inakuwa useless in market mfano political science,sociology,economics,linguistic,kiswahili !
nawashauri vijana someni degree taaluma kama uhasibu,udaktari,uhandisi ila elimu shahada inaweza kula kwako kwenye soko la ajira na kujiajiri pia

ni mtizamo tu!

Acha dharau wewe.
 
Huwe na first class uwe na pass uwe best student uwe worst student NBAA wana sheria zao as long as hukusoma B.com Accounting lazima uanze module B au C ni wahitimu wa Bcom Acc pekee kwa Udsm na Udom ndio wana exemption kuanza kusoma module E awe na pass awe na first class sawa tu. Kwa vyuo km Muccobs wale wa BAAF kwa Mzumbe wale wa BAF wa Saut wale wa BBA in Acc na Tumaini pia na vyuo vingine kama CBE n.k, kila chuo kina kozi moja yenye background ya account ndio ina excemption ya kuanza module E i.e final the rest Bcom Finance, economics n.k lazima mpurukushane huko chini
 
hapana mkuu,,,niko apo apo mlimani naendelea Na mba,,,bado nahitaji cpa,,,nilishindwa kugawanya mda

Ningekushauri ufanye kaz dogo wkt unasomea cpa...kwa case yako it will take u more than two years .....experience matters...ukimaliza hio mba na cpa with zero work experience then what?!!
 
Ndg. Hata kama ungekuwa na first ya 5.0, Bado utaanzia chini..
 
Cpa hainaga gpa my friend,kuna watu gpa km zako hawajachomoa,na wengine 2.7 wamezipata,
cha msingi u-meet requirement za NBAA na USOME SANA,naona ni bora uanze na syllabus mpya november,utakuwa na 15 papers badala ya 20 za sasa..saivi muda umeenda watu washaanza review classes,ungeanzia module A
 
nakushaur fanya mba acha na cpa utazeeka apo from module a to F tafuta ela au fanya kaz uku unazisogeza ili opportunity cost ipungue ol da best
 
mkuu hapo umekosea sana,,,cjakosa ajira kabisaah,,,nlivomaliza nlikuwa best student pale cass,,niliombwa nibaki Na department mbili,,department ya economics Na department ya finance kule udbs niwe t. assistant ila nilikataa,,nimeitwa sehem kibao ila nimeona niendelee kwanza Na elimu,,,siyo kila anayeomba ushauri kakosa ajira # obama wa bongo
halafu utakuwa ni muhaya wewe , maana unajifagilia hatari!!
 
halafu utakuwa ni muhaya wewe , maana unajifagilia hatari!!

mti wenye matunda ndio upigwa mawe. Kwa nini husisema ni mgogo au muha. Au unawajema kwa kuwa wamechagua chaguo lililo bora? (elimu)
 
mti wenye matunda ndio upigwa mawe. Kwa nini husisema ni mgogo au muha. Au unawajema kwa kuwa wamechagua chaguo lililo bora? (elimu)

kwanza kabla ya yote wewe inaonekana sio mtanzania maana hata kiswahili hujui.. pili, hayo matunda ni matunda gani labda maparachichi! haya na wewe tupe kiwango cha elimu yako basi.
 
Nakuunga mkono Keynes, kwa nn mtu udharau jaman, do u thnk u are the best than others academically? Kila mtu amepewa karama yake bwana, acheni dharau sio lazima kucoment kila unachokiona, waacheni wengine hekima na busara za Kitaaluma watoe ushauri makini kwa wenye shida; umasikini utaisha lini kama we dont show signs of maturity? Mm nimesoma Community development studies na limeniuma kuona nimedharauriwa

Dada angu wabongo ni kawaida yao dharau. Mie nimesoma finance and investment planning mipango,nimejiajiri nina kampuni ya kandarasi,nimeajiri engeeneers,nawalipa. Nipo sumbawanga. Heshima pesa
 
Back
Top Bottom