Kwa Wale wa CPA(T)

Kwa Wale wa CPA(T)

keyness

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
9
Reaction score
0
I am B.A Economics holder from UDSM, nina first class 4.5. Napenda sana kuwa na CPA.

Nitaanza module gani?

Ahsanteni
 
I'm b.a economics holder from udsm Nina first class 4.5,,,,napenda sana kuwa Na cpa,,,nitaanza module gan??? ahsanteni

Utaanzia A,utapewa exemptions mbil tu kwenye hiyo module A,uwe na first o low class,,,an economist too and dd cpa
 
haaaaaaaaaaaaa!hapo ndio unaona uzuri wa kuwa na elimu ya taaluma(proffesional) tofauti na elimu ya shahada(degree) ambayo sometimes inakuwa useless in market mfano political science,sociology,economics,linguistic,kiswahili !
nawashauri vijana someni degree taaluma kama uhasibu,udaktari,uhandisi ila elimu shahada inaweza kula kwako kwenye soko la ajira na kujiajiri pia

ni mtizamo tu!
 
ahsante mkuu wapi naweza pata mwongozo mzima wa prescriptions zao?
 
mkuu hapo umekosea sana,,,cjakosa ajira kabisaah,,,nlivomaliza nlikuwa best student pale cass,,niliombwa nibaki Na department mbili,,department ya economics Na department ya finance kule udbs niwe t. assistant ila nilikataa,,nimeitwa sehem kibao ila nimeona niendelee kwanza Na elimu,,,siyo kila anayeomba ushauri kaka ajira # obama wa bongo
 
mkuu hapo umekosea sana,,,cjakosa ajira kabisaah,,,nlivomaliza nlikuwa best student pale cass,,niliombwa nibaki Na department mbili,,department ya economics Na department ya finance kule udbs niwe t. assistant ila nilikataa,,nimeitwa sehem kibao ila nimeona niendelee kwanza Na elimu,,,siyo kila anayeomba ushauri kakosa ajira # obama wa bongo
 
Ni chaguo jema. Ila unakataa kazi kisa unataka cpa? Kuna watu kibao wamepata cpa/acca wakiwa na double employement. Lakin misuli inatofautina wengine mpaka madude yagongwe na nyundo ndio yakae
 
Unajua syllabus imebadilika na itaanza kutumika nov 2014,kwa hio ili kupata maelekezo mazuri inabidi uende NBAA pale, maana kwa sasa hata kama una dagree ya uhasibu utatakiwa kufanya paper 10 kuanzia intermediate stage hadi mwisho.ila hongera sana kwa kuondoka na 1st class hapo UDSM
 
I am B.A Economics holder from UDSM, nina first class 4.5. Napenda sana kuwa na CPA.

Nitaanza module gani?

Ahsanteni

sahiv sylabus zimebadilika kuna foundation stage, intermediate stage, na final stage nenda nbaa watakwabia pakuanza ila kama hauna background ya account utaanza foundation stage
 
mkuu hapo umekosea sana,,,cjakosa ajira kabisaah,,,nlivomaliza nlikuwa best student pale cass,,niliombwa nibaki Na department mbili,,department ya economics Na department ya finance kule udbs niwe t. assistant ila nilikataa,,nimeitwa sehem kibao ila nimeona niendelee kwanza Na elimu,,,siyo kila anayeomba ushauri kakosa ajira # obama wa bongo

Hahaaaaa,we bwana ni Muongo.
 
acha kutuuzia chai dogo!
mimi nilikuwa na toa ushauri kwa members wengine sio wewe!
 
mkuu hapo umekosea sana,,,cjakosa ajira kabisaah,,,nlivomaliza nlikuwa best student pale cass,,niliombwa nibaki Na department mbili,,department ya economics Na department ya finance kule udbs niwe t. assistant ila nilikataa,,nimeitwa sehem kibao ila nimeona niendelee kwanza Na elimu,,,siyo kila anayeomba ushauri kaka ajira # obama wa bongo

Sasa Mbona CPA unaweza kufanya huku unafanya kazi? au mwenzetu ndo msuli kimbunga kusoma 24/7 mpaka miguu unaloweka?
 
Unajua syllabus imebadilika na itaanza kutumika nov 2014,kwa hio ili kupata maelekezo mazuri inabidi uende NBAA pale, maana kwa sasa hata kama una dagree ya uhasibu utatakiwa kufanya paper 10 kuanzia intermediate stage hadi mwisho.ila hongera sana kwa kuondoka na 1st class hapo UDSM

kuna kozi/departments pale ambazo first class zinapatikana sana,mfano Economics,Computer science,ila kuna kozi hiyo first class mara ya mwisho wameiona mwaka gan,mfano Law,UDBS
 
hapana mkuu,,,niko apo apo mlimani naendelea Na mba,,,bado nahitaji cpa,,,nilishindwa kugawanya mda
 
Hapana salome,,nlivomaliza nliona nieendelee Na mba hapo hapo ,, ,bado pia nahitaji cpa,,,mda auruhusu kufanya kazi ya kuajiriwa full time
 
Sina mda wa kubishana Na ww mkuu. nimeomba ushauri hapo hujanipa,,kikubwa umedharau taaluma yangu,,Na kunkatisha tamaa,,,siku ingine kama huna cha kushauri just scroll down,,
 
Jaman hamana course iliyo nzuri kuliko nyingine, hee jaman wazanzania wana dharau sana, ujue mtu anaposomea Sociology, community development studies sio kwamba hajaona kama kuna uhasibu, udakitari; tunaishi kwa kutegemeana 1day mtu uliyesoma udakitar au accounts utahitaji msaada ofcn kwa mtu aliyesoma social services issues, sio siri watu mnaejiona ninyi ni vipanga kwa kusoma kitu fulan achen hii tabia, Je nchi itaendaje kama wote wakiwa madaktar , huyo daktari atakuwa pia mwalimu? Mindset zetu zipanuke
 
Nakuunga mkono Keynes, kwa nn mtu udharau jaman, do u thnk u are the best than others academically? Kila mtu amepewa karama yake bwana, acheni dharau sio lazima kucoment kila unachokiona, waacheni wengine hekima na busara za Kitaaluma watoe ushauri makini kwa wenye shida; umasikini utaisha lini kama we dont show signs of maturity? Mm nimesoma Community development studies na limeniuma kuona nimedharauriwa
 
Back
Top Bottom