kwa wale tuliosoma PUGU High school

kwa wale tuliosoma PUGU High school

Daah I miss People's Usually Go to University(PUGU) Ile mbaya. Enzi za Magambo, pond aka fungus industry. Alwayz PUGU is in ma heart. Pamoja saaana cku hy wakuu
 
Aise mtukumbuke na wa mbali!utupe feeback ya hyo meeting!
 
pugu boys daaaha kiepe cha kwa geze miaka ya 2002 ilikua shidaaaaaaaaaa na channel 5 hahahhaaa
 
Dear fellow Pugu Boys, its been a while since we last met at breakpoint. I am calling upon all members to the pugu alumni association a general meeting to be held at breakpoint Kijitonyama on 27th july 2013 12.00 pm. All ex pugu boys are invited to attend. Agenda is to discuss our way forward after registration. Please spread the news if you are concerned.

Miaka ya 90 kulikuwa na Mwalimu wa Nidhamu pale Pugu alikuwa anaitwa Wajimila, na alikuwa anafundisha Phsics A-level, tulianza naye kule chini kwenye mabanda ya kuku kama unaelekea Pond. Mimi nilikuwa F5x, na baadaye F6C. Nick name ya Wajimila tulikuwa tunamwita Cobra, alikuwa na tabia ya kustukia uko naye karibu tu bila kumuona ametokea wapi na hivyo ilikuwa ni vigumu kupata maandalizi ya kumkwepa, hasa kama umedodge kwenda Prep usiku, au ume-overstay darasani. Alikuwa na tabia ya kuonja kidogo na ninakumbuka siku moja tukiwa tuko parade ground kwenye roll-call ya jioni, mbele ya jengo lenye maandishi DOCEBIT VOS OMNIA, alikuja akiwa ameonja kidogo halafu akachimba mkwara mzito sana akasema, THE HABIT OF CALLING ME COBRA, I'M NOT OF YOUR AGE. IT'S NO WONDER THAT EVEN THE SMALL CHILDREN PLAYING AROUND, EXACTLY KNOW THAT YOU NICKNAMED ME COBRA.
However,I liked Pugu Life. Tulikuwa tunatoroka weekend tunaenda kutembea Chanika, Pugu Stesheni, Pugu Kajiungeni na kwingine kwingi. Tahadhari ilikuwa tu ni kwamba usikutane na Cobra au asikukamate wakati unarudi shuleni. Maisha ya utotoni raha sana, ukubwani shida tupu, na ukiongezea na familia pamoja na uongozi ndiyo kabisa pilika pilka za maisha zinakuwa squared. I enjoyed life at Pugu more than even in my first visit to Europe; life at Pugu was a superb life!
 
Back
Top Bottom