Kwa wale tuliosoma Ikoromije Shule ya Msingi Misungwi.

kwahio ww unaishi ili ujulikane???
Hapana mkuu naishi kwa majaliwa yangu,siwezi kuhangaika na ukilaza wa class mates au ukipanga wake maana by the end of the day havitaweka ugali mezani kwangu.Sina uwezo wa kuajiri mtu vyeti vyake mie vya nini?
 
ndio utulize mshono sasa
 
Mimi jina langu halisi ni MPHINGU MAGANGA SHIJA. nimesoma shule ya Msingi Koromije.
Kwenye uwanja wa nyumba hii ndio tulikua tukicheza na kufukuzwa kuku
0134465949d1364c306ded0c136e9619.jpg

Na hili
5b17fcc25644873bb049b0de2710d424.jpg
ndio eneo la shule yetu Sekondari
 
kwa jinsi nilivyosoma kwa shida, mtu akinikashifu sina vyeti, ningebandika hadi matokeo ya tuition
 
Mimi jina langu halisi ni MPHINGU MAGANGA SHIJA. nimesoma shule ya Msingi Koromije.
Kwenye uwanja wa nyumba hii ndio tulikua tukicheza na kufukuzwa kuku
0134465949d1364c306ded0c136e9619.jpg

unamfahamu mwanafunzi aliyekuwa anaitwa Daudi
 
Hapana mkuu naishi kwa majaliwa yangu,siwezi kuhangaika na ukilaza wa class mates au ukipanga wake maana by the end of the day havitaweka ugali mezani kwangu.Sina uwezo wa kuajiri mtu vyeti vyake mie vya nini?

Safi kabisa, kaa na vyeti vyako usitumie vya wengine, ni fraud, kosa la jinai, impersonation. Utakwenda jela.
 
Mimi naitwa Rashid Mfaume Mapu nimeanza koromije mwaka 1996 mpaka mwaka 2002 nilipohitimu.....Na nawafahamu kina Bashite coz mmoja wao aliwah kudate na dada yangu
 
Mbona jina la Rashidi Mfaume, halikuepo shuleni 1995-2002 hapo?
 
Back
Top Bottom