Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Kwale tuliosoma koromije shule ya msingi naomba tukutane hapa.
kama kawa shule yetu inazidi kuzeeka dahMtaje na majina yenu halisi mkuu wangu. Maana ninyi kwa aka hamjambo! [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Halafu ninyi mnanona kule "Dathlamu"! Inabidi muanzishe" Wazee Kukumbuka Fund "[emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]kama kawa shule yetu inazidi kuzeeka dah
Typing errorIkolomije au koromije?bila shaka hukusom. hapo[emoji23][emoji23]
We Kishimundu umesoma lini Koromije?![]()
Kwale tuliosoma koromije shule ya msingi naomba tukutane hapa.
Yet ni mkuu wa daresalama[emoji3][emoji16]lazima wewe ni waziri wa elimu aisee maana ulikuwaga hukosei kitu!! Hata mwalimu alikuwa anakuomba umsaidie kutufundisha kikatoliki.namkumbuka sana yule mwalimu wa taaluma ..
alikua anapiga bakora balaa..alikua anafundisha hesabu..
kila siku daudi lalikua ni lazima achezee bakola kisa hesabu
Naanza:Hapa hakuna hata mmoja aliyesoma Ikolomije p/s wote mnafurahisha jukwaa tu naomba mnitajie majina ya walimu ya kuanzia mwaka 1984 mpaka 1999
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]namkumbuka sana yule mwalimu wa taaluma ..
alikua anapiga bakora balaa..alikua anafundisha hesabu..
kila siku daudi lalikua ni lazima achezee bakola kisa hesabu
mkuu hili swala ni la kweli kabisa...huyu ndugu daudi alishindikana tangu zamani.....alaf alikua mbishi sijapata onaYet ni mkuu wa daresalama[emoji3][emoji16]lazima wewe ni waziri wa elimu aisee maana ulikuwaga hukosei kitu!! Hata mwalimu alikuwa anakuomba umsaidie kutufundisha kikatoliki.
Mi namjua si ndo maana anawapelekapeleka mpaka leo alizaliwa na nyota ya umaarufu yaani.sasa hivi mpaka USA wanamjua ila wewe kipanga wetu anakujua nani?mkuu hili swala ni la kweli kabisa...huyu ndugu daudi alishindikana tangu zamani.....alaf alikua mbishi sijapata ona
kwahio ww unaishi ili ujulikane???Mi namjua si ndo maana anawapelekapeleka mpaka leo alizaliwa na nyota ya umaarufu yaani.sasa hivi mpaka USA wanamjua ila wewe kipanga wetu anakujua nani?