😆😆😆 Nafikili wanajitoa akili. Nimetumia miaka 2 kununua na kujenga chumba kimoja . Wakati mke nilimtongoza sku mbili baada ya miezi miwili tukaoana. KIPu kugumu hapo 🙅🤷Eti kosea kujenga utabomoa ila usikosee kuoa....!
Hivi mnazijua gharama za ujenzi nyie....?
Afya yenye ladha ya blackcurrantTokea mke wangu aniende kwa mtaalamu pasi na mimi kujua, pombe imenikataa kabisa
Niliamua kutafuta mbadala ya pombe. Nilijaribu soda, juisi za viwandani hadi juisi za kienyeji. Zote ziligonga ukuta
Nowdays ninaporejea nyumbani, napitia energy drink moja, ndani tayari nina kipakiti changu cha Panadol za Kenya. Kabla ya msosi natupia vidonge viwili kwenye chupa ya kinywaji changu cha energy, nangoja dk2, kisha nakunywa taratiibu huku namtazama shemeji yenu kwa hamu
Muda huo chumba kizima nimefungulia boringo za akina Iyondo Sister au midundo ya akina Msondo Ngoma. Stimu ninayoipata ni kama ya mnywaji wa bia
Kwenu msiotumia bia, unatumia kinywaji kipi kama kiburudisho?View attachment 2680860View attachment 2680861
Unaweza nipa elimu juu ya kutengeneza mocktail yoyote.
Au hata mixture ya vinywaji vya pombe
Maji ya baridi mnooo, ila mkuu caffein + panadol mbona kama unatengeneza viagra?Tokea mke wangu aniende kwa mtaalamu pasi na mimi kujua, pombe imenikataa kabisa
Niliamua kutafuta mbadala ya pombe. Nilijaribu soda, juisi za viwandani hadi juisi za kienyeji. Zote ziligonga ukuta
Nowdays ninaporejea nyumbani, napitia energy drink moja, ndani tayari nina kipakiti changu cha Panadol za Kenya. Kabla ya msosi natupia vidonge viwili kwenye chupa ya kinywaji changu cha energy, nangoja dk2, kisha nakunywa taratiibu huku namtazama shemeji yenu kwa hamu
Muda huo chumba kizima nimefungulia boringo za akina Iyondo Sister au midundo ya akina Msondo Ngoma. Stimu ninayoipata ni kama ya mnywaji wa bia
Kwenu msiotumia bia, unatumia kinywaji kipi kama kiburudisho?View attachment 2680860View attachment 2680861
BavariaKwa kweli ni changamoto sisi wasio tumia kinywaji.
Hotelini naagiza chai ya maziwa pale kakikombe ni 7000 sio shida kwangu.
Mara nikabadirisha chai ya tangawizi, nayo nimeichoka.
Mara juice ya carot nayo inachosha.
Nikawaza kwakuwa ni hotel kubwa hawawezi kosa 'green coffee beans " mbaya zaidi nayo hawana na super market nimekosa, nimeagiza rwanda soon itafika.
Leo nawaza nitoke sijui nitakunywa nini? Kwakweli sisi ni wa kuonea huruma.
Wadau kinywaji gani ambacho hakina kilevi ambacho naweza ajiza hotelini? Nimalize hata two hrs maana sio kila nikienda lazima nile, wakati mwingine nakuwa nimeshiba.
Nasubiri hapa majibu wadau.
N.b hivi kuna wine isiyokuwa na kilevi? Naomba muitaje hapa jamani.
N.b elfu 40 au 50 hainunuwi gari wala kujenga nyumba.
Mbinguni hakuna hoteli
Kaburini hatuendi na gari wala nyumba ila tunaenda na tumbo letu so wakuu msijinyime.
wanajionaga watakatifu sanaHata wasio tumiaga hivyo Vitu wanajionaga kama Wamiliki wa bandari!!!
Matokeo yake ni nn huu mchanganyikoTokea mke wangu aniende kwa mtaalamu pasi na mimi kujua, pombe imenikataa kabisa
Niliamua kutafuta mbadala ya pombe. Nilijaribu soda, juisi za viwandani hadi juisi za kienyeji. Zote ziligonga ukuta
Nowdays ninaporejea nyumbani, napitia energy drink moja, ndani tayari nina kipakiti changu cha Panadol za Kenya. Kabla ya msosi natupia vidonge viwili kwenye chupa ya kinywaji changu cha energy, nangoja dk2, kisha nakunywa taratiibu huku namtazama shemeji yenu kwa hamu
Muda huo chumba kizima nimefungulia boringo za akina Iyondo Sister au midundo ya akina Msondo Ngoma. Stimu ninayoipata ni kama ya mnywaji wa bia
Kwenu msiotumia bia, unatumia kinywaji kipi kama kiburudisho?View attachment 2680860View attachment 2680861
Wewe jamaa unakosea sana na unajitafutia matatizo ya kiafya ambayo yatakugharimu sana diku za usoni.Tokea mke wangu aniende kwa mtaalamu pasi na mimi kujua, pombe imenikataa kabisa
Niliamua kutafuta mbadala ya pombe. Nilijaribu soda, juisi za viwandani hadi juisi za kienyeji. Zote ziligonga ukuta
Nowdays ninaporejea nyumbani, napitia energy drink moja, ndani tayari nina kipakiti changu cha Panadol za Kenya. Kabla ya msosi natupia vidonge viwili kwenye chupa ya kinywaji changu cha energy, nangoja dk2, kisha nakunywa taratiibu huku namtazama shemeji yenu kwa hamu
Muda huo chumba kizima nimefungulia boringo za akina Iyondo Sister au midundo ya akina Msondo Ngoma. Stimu ninayoipata ni kama ya mnywaji wa bia
Kwenu msiotumia bia, unatumia kinywaji kipi kama kiburudisho?View attachment 2680860View attachment 2680861
Ndiyo maana huwa nasema haya mambo ya nguvu za kiume yanagharimu sana hiki kizazi.Wewe jamaa unakosea sana na unajitafutia matatizo ya kiafya ambayo yatakugharimu sana diku za usoni.
1. Energy drink haipaswi kunywa kama kiburudisho. Energy drink ni kinywaji ambacho unakunywa pale ambapo unahitaji nguvu ya ziada kwa dharura kufanya jambo na hujaweza kula vizuri ili kupata nguvu. Kwa hiyo msifanye energy drink kama kiburudisho cha kila siku.
Kumbuka njia ya kawaida ya mwili kupata nguvu ni kupitia chakula.
2. Energy drink zinaongeza mapigo ya moyo...hii ni katika kuufanya moyo kusukuma damu nyingi zaidi mwilini ili kuupa mwili oxygen ya kutosha kutengeneza nguvu. Hivyo matumizi ya energy drink yakizidi kuna hatari ya kupata ugonjwa wa HBP - High Blood Pressure. Infact ndo maana siku hizi ni kawaida kukuta kijana at 40 ana BP.
3. Haileti naana yoyote kunywa energy drink wakati unaenda kulala. Hautapata usingizi mzuri maana Energy drink lengo lake ni kukuondolea uchovu na kufanya mwili uwe active. Wakati jioni unataka upate uchovu ili ulale ukiwa ume relax. Ndo maana watu wanashauriwa kufanya maziezi jioni ili kuupa mwili uchovu ambao utamfanya kupata usingizi bora (quality sleep).
Tatizo la pili unalojitengenezea ni usugu wa dawa za kutuliza maumivu. Sijui ni kwa nini unatumia panadol kila siku wakati hauumwi. Hivi unajua jinsi panadol zinavyofanya kazi mwilini?
Kimsingi una haribu mfumo wako wa fahamu taratibu..
Tena umenikumbusha kumbe bado zipo? AsanteeBavaria
Beb haunyw ht 4 cousin kwel ??Kwa kweli ni changamoto sisi wasio tumia kinywaji.
Hotelini naagiza chai ya maziwa pale kakikombe ni 7000 sio shida kwangu.
Mara nikabadirisha chai ya tangawizi, nayo nimeichoka.
Mara juice ya carot nayo inachosha.
Nikawaza kwakuwa ni hotel kubwa hawawezi kosa 'green coffee beans " mbaya zaidi nayo hawana na super market nimekosa, nimeagiza rwanda soon itafika.
Leo nawaza nitoke sijui nitakunywa nini? Kwakweli sisi ni wa kuonea huruma.
Wadau kinywaji gani ambacho hakina kilevi ambacho naweza ajiza hotelini? Nimalize hata two hrs maana sio kila nikienda lazima nile, wakati mwingine nakuwa nimeshiba.
Nasubiri hapa majibu wadau.
N.b hivi kuna wine isiyokuwa na kilevi? Naomba muitaje hapa jamani.
N.b elfu 40 au 50 hainunuwi gari wala kujenga nyumba.
Mbinguni hakuna hoteli
Kaburini hatuendi na gari wala nyumba ila tunaenda na tumbo letu so wakuu msijinyime.
4 cousin nini tena nije niulizie!Beb haunyw ht 4 cousin kwel ??