ule wa ndindindindi๐ป๐ธ๐บMziki wa kesi au?๐
Troyboi _ on my ownDubstep ndio mahadhi gani ya muziki hayo? Example ya nyimbo ya Dubstep ni kama ipi?
achana na reggae, reggae imepoa hii inaki vibe flani unique ebu zicheki hiziZile zinakuwa kama reggae version
Skrillex anafanya sana haya ma dubstep, kama sijakosea mkuuNani anasikilizaga dubstep music hapa?
skrillex ni legendary sana sambamba na neroSkrillex anafanya sana haya ma dubstep, kama sijakosea mkuu
Calvin Harris_Feel so close (Nero remix)Dubstep ndio mahadhi gani ya muziki hayo? Example ya nyimbo ya Dubstep ni kama ipi?
aise hii imenifanya nionekane mwendawazim usiku n noumaaaaaHii hapa kwa wale wanaopenda Bass sound. Sikiliza hii kwa kutumia Headphones.
ndo hivyo mkuu ila binafsi hizi nyimbo hua nazi feel sana. Ukiangalia wimbo wa sia breath me original version yake imepoa sana, lakini cheki dubstep yake ilivyokua na flavourNmezisikiza mkuu, hizo Dubstep hapana...Ni nyimbo zinapendwa sana kwenye reviews za Youtube.
Aisee hapana mkuu๐๐๐๐๐๐ asante sana! Huo mchanganyiko hata siuelewi ni kama unajaribu kwenda mbele na kurudi nyuma.ndo hivyo mkuu ila binafsi hizi nyimbo hua nazi feel sana. Ukiangalia wimbo wa sia breath me original version yake imepoa sana, lakini cheki dubstep yake ilivyokua na flavour