Suala la kupata kazi ni riziki tu ya mungu....... Kwamba mtu ambaye hajui kujielezea ndio hawezi kazi na anayejua kujieleza ndio anaweza kazi......NAKATAA.
Nitaamini tu endapo organization ama kampuni itoe nafasi za kazi 100 na waombaji wawe elfu 1000 halafu akosekane wa kujaza hizo nafasi.
vijana wengi wanakosa kazi sababu nafasi za kazi ni chache.