Kwa wale mnaosema mitandaoni na kila mahali tunamjadili Makonda tu na sio habari za maendeleo

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,312
152,112
"Tambueni tu katika mataifa mengine watu mamia kwa maelfu huacha shughuli zao na kuandanamana nchi nzima huku wengine wakikusanyika mahali pamoja wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali wa kushinikiza watawala wajiuzulu kwa matumizi mabaya ya madaraka".

Tena msisahau watu huandamana hata mwezi mzima kushinikiza uwajibikaji/mabadikiko.

Kwaherini.
 
"Tambueni tu katika mataifa mengine watu mamia kwa maelfu huacha shughuli zao na kuandanamana nchi nzima huku wengine wakikusanyika mahali pamoja wakiwa na mabango mbalimbali yenye ujumbe wa kushinikiza watawala wajiuzulu kwa matumizi mabaya ya madaraka".

Kwaherini.

Mkuu si kwamba hawatambui . Wanatambua na wanaogopa ndio maana wanajitahidi kupiga vijembe ili moto usiendelee.Ndio sababu pia ya kuzuia maandamano kwa visingizio vya kiintelijensia,hata kama maandamano ni ya amani.
 
Na nyie andamaneni basi, sio kupayuka mitandaoni , nyie si wanaume, tokeni huko nyuma ya keyboard muone mziki wake
 
"Tambueni tu katika mataifa mengine watu mamia kwa maelfu huacha shughuli zao na kuandanamana nchi nzima huku wengine wakikusanyika mahali pamoja wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali wa kushinikiza watawala wajiuzulu kwa matumizi mabaya ya madaraka".

Tena msisahau watu huandamana hata mwezi mzima kushinikiza uwajibikaji/mabadikiko.

Kwaherini.
Kwanini yasiandaliwe hayo maandamano ya kushinikiza Bashite achukuliwe hatua. Sio tu kufukuzwa apelekwe mahakamani.
 
Haitakiwi hata kuwajibu maana tutakuwa tnajipa kazi kubishana na machizi....watu hao hao wamesababisha watu kibao wamepoteza ajira zao halafu tukae kimya,kwenye mitandao ni step 1 step ya pili ni bungeni na ya tatu tutakutana njian,sasa nyie ambao mna kazi tutakapokuwa njian,nyie nenden kazin...
 
Mimi hata nishinde humu masaa 24 haina shida!
Huyo anayesema nifanye kazi kwani nimeshawahi kumuomba chakula?
Aende huko
 
Back
Top Bottom