Kwa wale mliowahi kuona majini/mashetani/mapepo

Kwa wale mliowahi kuona majini/mashetani/mapepo

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,653
hello guys,

Nasikia eti kuna dawa ukipaka machoni, mtu unaona majini/mashetani/mapepo live, ni ya kweli haya? kwa mliofanya hivi experience yenu ilikuaje?

Hlf naskia binadamu wengi sana tunaokutana nao barabarani kila siku sio binadamu halisi, ila ni mapepo/majini yaliyovaa miili ya binadamu, kwa macho ya kawaida wanaonekana ni binadamu, ila kiroho sio
 
Dawa ipo ila uko tayari?kumbuka hakuna majini/mapepo/wachawi ama mashetani yenye muda wa kujipodoa ama kujiremba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom