Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!

M
Wanabodi,

Uwezo wa kiongozi mzuri, hupimwa kwa matokeo ya ahadi anazotoa kuwa iwapo atachaguliwa atafanya nini.

Sasa inapotokea mmemchagua mtu, amekaa miaka 5, hajafanya lolote, na baada ya miaka 5, mmemchagua na hajafanya lolote, sasa leo tena, mmemchagua tena kwa miaka 5 ya mwingine, mnategemea nini?!. Then watu kama nyinyi mnaomchagua mtu kama huyu miaka nenda miaka rudi ndio wenye matatizo, ila kwa maeneo yenye umaskini uliotopea, tunaelewa watu wa maeneo hayo hawana choice.

Natolea mfano Jimbo la Kongwa, kwa wale mliowahi kufika Kongwa!, licha ya Jimbo hili kuwa ni moja ya maeneo yenye utajiri mkubwa wa mifugo, maeneo ya kutosha kwa malisho na uwepo wa Ranchi ya Taifa ya Kongwa inayoongoza kwa nyama tamu ya ng'ombe," Kongwa Beef", Jimbo la Kongwa ni moja ya majimbo masikini sana Tanzania, yenye watu wenye umasikini uliotopea, kwa kifupi hali ya Kongwa ni choka mbaya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza mbunge wa jimbo hili, licha ya kuwa mbunge wa Kongwa toka mwaka 2000 hadi sasa, ni zaidi ya miaka 15, atakuwa anafanya nini kuibadili hali hii ya umasikini uliotopea wa jimbo la Kongwa kiasi cha kuonekana kama hana uwezo wowote wa kufanya lolote la maana!.

Tukubali tukatae, CCM ndio chama tawala kwa miaka mingi ijayo hivyo CCM ikituchagulia viongozi wazuri, taifa litapata watu wazuri watakaofanya mambo mazuri na kutuletea maendeleo.

Sifa kuu ya kuchaguliwa kuongoza mhimili iwe ni track record yako umewahi kufanya nini cha maana hadi kustahili kuongezwa madaraka kwa kupewa mhimili unless sasa iwe ni kutafuta mhimili ili sasa ndio atumie nguvu za mhimili kuwaletea maendeleo wana Kongwa!.

Nimelisemea hili baada ya kuona wagombea fulani fulani ndani ya CCM wenye zero track record kwenye majimbo yao lakini wanawania nafasi fulani fulani za juu sio ili kuongoza bali ni kutafutia tuu ulaji, na sio uwezo wa utendaji!.

Sasa ikitokea mbunge kama huyu mbunge wa Kongwa, kufuatiwa kushindwa kufanya lolote la maana kwenye jimboni kwake!, halafu sasa anatafuta nafasi ya juu zaidi kutaka kuongoza mhimili, mtu kama huyu anataka nafsi hiyo akafanye nini?!.

Tunawaomba sana CCM wawe na huruma na Uzalendo kwa nchi yetu, kama mtu kama huyu ambaye ameshindwa kufanya lolote la maana jimboni kwake, halafu analeta jina lake lifikiriwe kuongoza mhimili, kweli ni mtu wa kufikiriwa kupewa madaraka makubwa zaidi kama kushika mhimili wa Dola?!.

Tunawaomba sana CCM tafadhalini sana msituletee mchezo!.

Leo ninapoandika hapa, wengi hamtanielewa nasema nini kwa sababu sii wengi humu wamefika Kongwa, lakini as times go by ikitokea mtu kama huyu kushika mhimili wa dola, mtashuhudia makubwa na mambo ya ajabu ndipo labda mtanielewa.

Mkichukua failures na kuwapa madaraka makubwa kuliko uwezo wao, then tegemea a failed output, madaraka yatakiwa yamemzidi kimo, hivyo kuonyeshea ana fiti, subirieni makeke yake ns vimbwanga vyake, mtanikumbuka, na from time to time, mimi nipatapo nafasi, nitakuwa nawakumbusha.

Pasco
Maendeleo ya Jimbo yanaletwa na wananchi wa jimbo husika. Na maendeleo ni WATU sio VITU. Ukiwa na WATU walioendelea watadai barabara, watalipa kodi, watajitahidi wawe na shule nzuri(elimu bora), watajenga nyumba nzuri. MBUNGE ni sawa na kipaza sauti tu. Hakuna maendeleo yanayoletwa na kiongozi ni watu.
 
Wanabodi,

Uwezo wa kiongozi mzuri, hupimwa kwa matokeo ya ahadi anazotoa kuwa iwapo atachaguliwa atafanya nini.

Sasa inapotokea mmemchagua mtu, amekaa miaka 5, hajafanya lolote, na baada ya miaka 5, mmemchagua na hajafanya lolote, sasa leo tena, mmemchagua tena kwa miaka 5 ya mwingine, mnategemea nini?!. Then watu kama nyinyi mnaomchagua mtu kama huyu miaka nenda miaka rudi ndio wenye matatizo, ila kwa maeneo yenye umaskini uliotopea, tunaelewa watu wa maeneo hayo hawana choice.

Natolea mfano Jimbo la Kongwa, kwa wale mliowahi kufika Kongwa!, licha ya Jimbo hili kuwa ni moja ya maeneo yenye utajiri mkubwa wa mifugo, maeneo ya kutosha kwa malisho na uwepo wa Ranchi ya Taifa ya Kongwa inayoongoza kwa nyama tamu ya ng'ombe," Kongwa Beef", Jimbo la Kongwa ni moja ya majimbo masikini sana Tanzania, yenye watu wenye umasikini uliotopea, kwa kifupi hali ya Kongwa ni choka mbaya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza mbunge wa jimbo hili, licha ya kuwa mbunge wa Kongwa toka mwaka 2000 hadi sasa, ni zaidi ya miaka 15, atakuwa anafanya nini kuibadili hali hii ya umasikini uliotopea wa jimbo la Kongwa kiasi cha kuonekana kama hana uwezo wowote wa kufanya lolote la maana!.

Tukubali tukatae, CCM ndio chama tawala kwa miaka mingi ijayo hivyo CCM ikituchagulia viongozi wazuri, taifa litapata watu wazuri watakaofanya mambo mazuri na kutuletea maendeleo.

Sifa kuu ya kuchaguliwa kuongoza mhimili iwe ni track record yako umewahi kufanya nini cha maana hadi kustahili kuongezwa madaraka kwa kupewa mhimili unless sasa iwe ni kutafuta mhimili ili sasa ndio atumie nguvu za mhimili kuwaletea maendeleo wana Kongwa!.

Nimelisemea hili baada ya kuona wagombea fulani fulani ndani ya CCM wenye zero track record kwenye majimbo yao lakini wanawania nafasi fulani fulani za juu sio ili kuongoza bali ni kutafutia tuu ulaji, na sio uwezo wa utendaji!.

Sasa ikitokea mbunge kama huyu mbunge wa Kongwa, kufuatiwa kushindwa kufanya lolote la maana kwenye jimboni kwake!, halafu sasa anatafuta nafasi ya juu zaidi kutaka kuongoza mhimili, mtu kama huyu anataka nafsi hiyo akafanye nini?!.

Tunawaomba sana CCM wawe na huruma na Uzalendo kwa nchi yetu, kama mtu kama huyu ambaye ameshindwa kufanya lolote la maana jimboni kwake, halafu analeta jina lake lifikiriwe kuongoza mhimili, kweli ni mtu wa kufikiriwa kupewa madaraka makubwa zaidi kama kushika mhimili wa Dola?!.

Tunawaomba sana CCM tafadhalini sana msituletee mchezo!.

Leo ninapoandika hapa, wengi hamtanielewa nasema nini kwa sababu sii wengi humu wamefika Kongwa, lakini as times go by ikitokea mtu kama huyu kushika mhimili wa dola, mtashuhudia makubwa na mambo ya ajabu ndipo labda mtanielewa.

Mkichukua failures na kuwapa madaraka makubwa kuliko uwezo wao, then tegemea a failed output, madaraka yatakiwa yamemzidi kimo, hivyo kuonyeshea ana fiti, subirieni makeke yake ns vimbwanga vyake, mtanikumbuka, na from time to time, mimi nipatapo nafasi, nitakuwa nawakumbusha.

Pasco
Hapa kaka Paskali si ungemtaja tu jina! Mpaka wachangiaji wataje? Aaaahhhh acha woga bhana!
 
Wanasiasa wanatumia ujinga wetu kutufanyia biashara,ubunge,uraisi yafaa iwe kazi ya wito Kama ualimu na sio kichaka cha kulamba Kodi zetu
 
Duh, kumbe sasa Kongwa mambo safi?. Angalau uspka unalipa, ila pia kwa maendeleo ya jimbo la Kongwa, JF nayo, imesaidia saidia, mabandiko kama Haya yamesaidia katika amsha amsha

Kwa Wale Mliowahi Kufika Kongwa, ni Jimbo Choka Mbaya Kiasi Kwamba Mbunge Wake Hafai Kwa Lolote!. - JamiiForums

P
Pascal unakumbusha hii kwa vile unajua muda wa Bunge umebaki mchache na ile kamati haiwezi kukuita kwa sasa?
We endelea kumchokoza Job shauri yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Uwezo wa kiongozi mzuri, hupimwa kwa matokeo ya ahadi anazotoa kuwa iwapo atachaguliwa atafanya nini.

Sasa inapotokea mmemchagua mtu, amekaa miaka 5, hajafanya lolote, na baada ya miaka 5, mmemchagua na hajafanya lolote, sasa leo tena, mmemchagua tena kwa miaka 5 ya mwingine, mnategemea nini?!. Then watu kama nyinyi mnaomchagua mtu kama huyu miaka nenda miaka rudi ndio wenye matatizo, ila kwa maeneo yenye umaskini uliotopea, tunaelewa watu wa maeneo hayo hawana choice.

Natolea mfano Jimbo la Kongwa, kwa wale mliowahi kufika Kongwa!, licha ya Jimbo hili kuwa ni moja ya maeneo yenye utajiri mkubwa wa mifugo, maeneo ya kutosha kwa malisho na uwepo wa Ranchi ya Taifa ya Kongwa inayoongoza kwa nyama tamu ya ng'ombe," Kongwa Beef", Jimbo la Kongwa ni moja ya majimbo masikini sana Tanzania, yenye watu wenye umasikini uliotopea, kwa kifupi hali ya Kongwa ni choka mbaya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza mbunge wa jimbo hili, licha ya kuwa mbunge wa Kongwa toka mwaka 2000 hadi sasa, ni zaidi ya miaka 15, atakuwa anafanya nini kuibadili hali hii ya umasikini uliotopea wa jimbo la Kongwa kiasi cha kuonekana kama hana uwezo wowote wa kufanya lolote la maana!.

Tukubali tukatae, CCM ndio chama tawala kwa miaka mingi ijayo hivyo CCM ikituchagulia viongozi wazuri, taifa litapata watu wazuri watakaofanya mambo mazuri na kutuletea maendeleo.

Sifa kuu ya kuchaguliwa kuongoza mhimili iwe ni track record yako umewahi kufanya nini cha maana hadi kustahili kuongezwa madaraka kwa kupewa mhimili unless sasa iwe ni kutafuta mhimili ili sasa ndio atumie nguvu za mhimili kuwaletea maendeleo wana Kongwa!.

Nimelisemea hili baada ya kuona wagombea fulani fulani ndani ya CCM wenye zero track record kwenye majimbo yao lakini wanawania nafasi fulani fulani za juu sio ili kuongoza bali ni kutafutia tuu ulaji, na sio uwezo wa utendaji!.

Sasa ikitokea mbunge kama huyu mbunge wa Kongwa, kufuatiwa kushindwa kufanya lolote la maana kwenye jimboni kwake!, halafu sasa anatafuta nafasi ya juu zaidi kutaka kuongoza mhimili, mtu kama huyu anataka nafsi hiyo akafanye nini?!.

Tunawaomba sana CCM wawe na huruma na Uzalendo kwa nchi yetu, kama mtu kama huyu ambaye ameshindwa kufanya lolote la maana jimboni kwake, halafu analeta jina lake lifikiriwe kuongoza mhimili, kweli ni mtu wa kufikiriwa kupewa madaraka makubwa zaidi kama kushika mhimili wa Dola?!.

Tunawaomba sana CCM tafadhalini sana msituletee mchezo!.

Leo ninapoandika hapa, wengi hamtanielewa nasema nini kwa sababu sii wengi humu wamefika Kongwa, lakini as times go by ikitokea mtu kama huyu kushika mhimili wa dola, mtashuhudia makubwa na mambo ya ajabu ndipo labda mtanielewa.

Mkichukua failures na kuwapa madaraka makubwa kuliko uwezo wao, then tegemea a failed output, madaraka yatakiwa yamemzidi kimo, hivyo kuonyeshea ana fiti, subirieni makeke yake ns vimbwanga vyake, mtanikumbuka, na from time to time, mimi nipatapo nafasi, nitakuwa nawakumbusha.

Pasco
Hili si ndio jimbo la kaka hili.
 
Tulia ana kipi cha ziada!? Hajulikani! Hajawahi kushiriki kitu chochote cha kijamii! Sana sana nae ni kati ya wanawake ambao wamefaidika na vyeo vya ch..u...p...i tu. Hana alilofanya ambalo limefanya ateuliwa kuwa naibu mwanasheria mkuu.
"Vyeo vya ch..u..p..i..." ndi vipi hivyo mkuu?
 
Dodoma yote imejaa mazezeta ndo maana maeneo mengi bado wanaishi primitive life.Wanasiasa mnaochipukia nendeni Dodoma mlijifunza kudanganywa watu uwezo wao wa kufikiri haubadiliki tangu enzi na enzi sijui ni yale mazabibu ila mi siyo Dr.
 
Wanabodi,

Uwezo wa kiongozi mzuri, hupimwa kwa matokeo ya ahadi anazotoa kuwa iwapo atachaguliwa atafanya nini.

Sasa inapotokea mmemchagua mtu, amekaa miaka 5, hajafanya lolote, na baada ya miaka 5, mmemchagua na hajafanya lolote, sasa leo tena, mmemchagua tena kwa miaka 5 ya mwingine, mnategemea nini?!. Then watu kama nyinyi mnaomchagua mtu kama huyu miaka nenda miaka rudi ndio wenye matatizo, ila kwa maeneo yenye umaskini uliotopea, tunaelewa watu wa maeneo hayo hawana choice.

Natolea mfano Jimbo la Kongwa, kwa wale mliowahi kufika Kongwa!, licha ya Jimbo hili kuwa ni moja ya maeneo yenye utajiri mkubwa wa mifugo, maeneo ya kutosha kwa malisho na uwepo wa Ranchi ya Taifa ya Kongwa inayoongoza kwa nyama tamu ya ng'ombe," Kongwa Beef", Jimbo la Kongwa ni moja ya majimbo masikini sana Tanzania, yenye watu wenye umasikini uliotopea, kwa kifupi hali ya Kongwa ni choka mbaya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza mbunge wa jimbo hili, licha ya kuwa mbunge wa Kongwa toka mwaka 2000 hadi sasa, ni zaidi ya miaka 15, atakuwa anafanya nini kuibadili hali hii ya umasikini uliotopea wa jimbo la Kongwa kiasi cha kuonekana kama hana uwezo wowote wa kufanya lolote la maana!.

Tukubali tukatae, CCM ndio chama tawala kwa miaka mingi ijayo hivyo CCM ikituchagulia viongozi wazuri, taifa litapata watu wazuri watakaofanya mambo mazuri na kutuletea maendeleo.

Sifa kuu ya kuchaguliwa kuongoza mhimili iwe ni track record yako umewahi kufanya nini cha maana hadi kustahili kuongezwa madaraka kwa kupewa mhimili unless sasa iwe ni kutafuta mhimili ili sasa ndio atumie nguvu za mhimili kuwaletea maendeleo wana Kongwa!.

Nimelisemea hili baada ya kuona wagombea fulani fulani ndani ya CCM wenye zero track record kwenye majimbo yao lakini wanawania nafasi fulani fulani za juu sio ili kuongoza bali ni kutafutia tuu ulaji, na sio uwezo wa utendaji!.

Sasa ikitokea mbunge kama huyu mbunge wa Kongwa, kufuatiwa kushindwa kufanya lolote la maana kwenye jimboni kwake!, halafu sasa anatafuta nafasi ya juu zaidi kutaka kuongoza mhimili, mtu kama huyu anataka nafsi hiyo akafanye nini?!.

Tunawaomba sana CCM wawe na huruma na Uzalendo kwa nchi yetu, kama mtu kama huyu ambaye ameshindwa kufanya lolote la maana jimboni kwake, halafu analeta jina lake lifikiriwe kuongoza mhimili, kweli ni mtu wa kufikiriwa kupewa madaraka makubwa zaidi kama kushika mhimili wa Dola?!.

Tunawaomba sana CCM tafadhalini sana msituletee mchezo!.

Leo ninapoandika hapa, wengi hamtanielewa nasema nini kwa sababu sii wengi humu wamefika Kongwa, lakini as times go by ikitokea mtu kama huyu kushika mhimili wa dola, mtashuhudia makubwa na mambo ya ajabu ndipo labda mtanielewa.

Mkichukua failures na kuwapa madaraka makubwa kuliko uwezo wao, then tegemea a failed output, madaraka yatakiwa yamemzidi kimo, hivyo kuonyeshea ana fiti, subirieni makeke yake ns vimbwanga vyake, mtanikumbuka, na from time to time, mimi nipatapo nafasi, nitakuwa nawakumbusha.

Pasco
Pasco, ng'wangaluka! Naona unewasgambulia sana wananchi was Kongwa pamoja na Mh Mbunge wao.
Umeonyesha una chuki binafsi na mbunge wake. Lakini amini nakuambia Job anchapa kazi na anapendwa mno jimboni.

Nasikia na wewe unavizia jimbo mahala!! Tukuombee upate ili ufanye maajabu
 
Back
Top Bottom