Kwa wale mlioko migodini hasa wachimbaji wadogo maeneo ya Mwanza na Geita

Simon Adebisi

JF-Expert Member
Aug 7, 2018
1,142
2,160
Kwema wakuu?

Poleni na harakati za Januari hii..

Kutokana na ugumu wa maisha nataka kujilipua niingie migodini pande za Nyalugusu huko ila sina uzoefu na mazingira ya huko.

Ningependa kupata dodoso kidogo juu ya hali ya maisha huko na nijipange vipi kukabiliana na changamoto za huko.

Natanguliza shukrani
 
Maamuzi magumu siku zote ni kujilipua tu,ukianza kuomba ushauri utapotea mapema.
 
Maamuzi magumu siku zote ni kujilipua tu,ukianza kuomba ushauri utapotea mapema.
Nimekusoma mkuu... ila siombi ushauri mzee js heads up tu...
Maamuzi ya kuingia huko nshafanya tayari sasa ni kuanza kutekeleza tu
 
Kule wanatoana kafara kinyama...stay tuned..kama we ni mshika dini, shika dini kiukweli kweli, kama we ni mshirikina inabdi uwe mshirikina kwelikweli, usifanye kosa la kuwa neutral....utagharimu ukoo..kila lakher
 
Kule wanatoana kafara kinyama...stay tuned..kama we ni mshika dini, shika dini kiukweli kweli, kama we ni mshirikina inabdi uwe mshirikina kwelikweli, usifanye kosa la kuwa neutral....utagharimu ukoo..kila lakher
Asante kwa ushauri kaka ntazingatia hilo
 
Duh umenikumbusha enzi zile nlijilipua tunduru Dah alafu nlikua chali tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja sana mkuu.... wadogo zako ndo wakati wetu huu kujaribu bahati zetu huko......
Ushauri kutokana na uzoefu wako huko utafaa sana
Jilipue tu mm wakati naenda tunduru nlikuwa na miaka 18 waziri wa madini alikuwa William shijja kuna ziara yake moja aliniona kule alingakaa sana
Ila yote maishaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nyarugus umenikumbusha mbali saana. Nilishawahi kupiga mzigo huko. Kuproces marudio wanaita.

Kila la kheri mkuu maisha ni kujaribu. Nakumbuka watu tulikuwa tunakaa hata miez minne bila pesa. Siku mambo yakiwa mazuri pesa inasihia baaa plus ujinga mwingine pls take care uwenamtumizi mazuri ya pesa

Pia rate ya HIV ni kubwa kule. Uwe makini kulinda afya yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja kaka ngoja nizame huko....
Sina kuliko kukaa tu vijiweni mjini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…