Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,138
- 2,151
Kwema wakuu?
Poleni na harakati za Januari hii..
Kutokana na ugumu wa maisha nataka kujilipua niingie migodini pande za Nyalugusu huko ila sina uzoefu na mazingira ya huko.
Ningependa kupata dodoso kidogo juu ya hali ya maisha huko na nijipange vipi kukabiliana na changamoto za huko.
Natanguliza shukrani