Kwa wale mlioenda mafunzo kwa vitendo(TP), mmepewa pesa zote au nusu yake?

kingsaula

Senior Member
Nov 19, 2016
195
139
Waheshimiwa walimu wanafunzi wenzangu nataka kujua kwa vyuo ambavyo mmeenda TP sasa hivi mmepewa pesa zote au nusu maana sisi ni mwez wa saba sasa cjui itakuwa nusu kama mwaka jana au laaa..!!!
 
Back
Top Bottom