mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
Atanifanyeje ππUsijaribu? Hivi unamjua Azazel unamsikia?
Kamba tu hizoZa saa hizi.
Ninachojua Azazel alikuwa malaika ambaye alileta teknolojia kwa binadamu. Sasa kuna watu tena zaidi ya mmoja wamewahi kukiri kuonana naye live kwa kufanya mambo kadhaa na kufuata masharti then wakaomba awape utajiri!
Ni hatua zipi za kuonana na Lucifer au Azazel?! Na je, ni mganga ndiye connector au mganga hana ulazima?
Msijaribu kienyeji jamani!
Mjuzi Mshana Jr karibu kwenye vitu vyako hivi.
Na wish kumuita Azazel leo usiku nihojiane naye uso kwa uso, na kwa hoja!
Jana ulikesha kuchat kule, badala ya kumuita Azazel π πAtanifanyeje ππ
Leo ntafanya hivyoJana ulikesha kuchat kule, badala ya kumuita Azazel π π
Unajua namna ya kumuita? πLeo ntafanya hivyo
NtagoogleUnajua namna ya kumuita? π
Kuwa makini usije kupotea. Ila nakukumbusha, ukishalipa madeni ya vikoba, usinisahau na Mimi π π πNtagoogle
Hebu nisaidie kulipa ili nisikusahau vizuriKuwa makini usije kupotea. Ila nakukumbusha, ukishalipa madeni ya vikoba, usinisahau na Mimi π π π
Mimi ntakusaidia kumuita Azazel, ili hela ziwe nyingi π π πHebu nisaidie kulipa ili nisikusahau vizuri
ππππanza kumuelekeza pa kujaMimi ntakusaidia kumuita Azazel, ili hela ziwe nyingi π π π
Mida yake ni usiku wa maneno. Leo Kesha tena kama jana πππππanza kumuelekeza pa kuja
Uhakika lazima nikesheMida yake ni usiku wa maneno. Leo Kesha tena kama jana π
Aina noma. Leo lazima Azazel aitikie wito. Tushachoka msoto π πUhakika lazima nikeshe