Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

haaaaaaah haaaah mi nilipoona MALAFIKI baaaaaasi nikaishia hapo kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna type nyingi za introverts wala usitishike. On my side siwezi kupoteza vitu muhimu kisa nipo introverted. Najua ni struggle but if you consistently lose opportunities huwezi kuendekeza hii tabia. Wengine wana socialphobia na matatizo ya kisaikolojia na wao pia ndio kichaka cha kujipa hopes wakati therapy ndio suluhisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa mpole boss.

Mpaka muda huu bado sijatoka nnje/uraiani, nipo ndani nafanya kazi zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza usije ukachanganya (ubinafsi, uchoyo, dharau, kuringa, kujiona au kujisikia,upole, kujisifia,aibu,uoga,ugonjwa,kukosa heshima, pamoja na ujinga), hawa wote wanajulikana ila wanapretend kua ni Introvert na kuficha tabia zao katika wingu la introverts ila rahisi kuwajua sababu tabia haifichiki, introverts utawajua tu, hakuna Introvert mwenye tabia hizo binafsi sina.

Kwanza nashukuru mungu, nimezaliwa Introvert, la sivyo sijui ningekua nani,
Kuzaliwa Introvert kumenifanya niepuke,

Makundi ya ajabu, ajabu
Michezo isiyo na faida,
Kukaa vijiweni kuongea utumbo,
Marafiki wanafiki,
Mambo ya anasa zinaa,ulevi nk
Vishawishi nk

Japo watu wanadhani Introvert wana aibu, sio kweli, tunaringa, hatujali,hatuna heshima pia sio kweli.
Naheshimu kila mtu ila usipo jiheshimu, sikuheshimu,

Maisha ya kuchanganyika yalinipa tabu sana, ila now niko free
Siku sio za kazi najifungia nyumbani kwangu,
Nasikiliza music, watching movies,playing games,singing, dancing alone,meditation au huwa nafanya kitu ninachopenda Kama Sina kazi, nafanya kila kitu peke yangu,maisha mbona rahisi, marafiki wachache wanatosha, sio lazima ujuane na kila mtu, just mind your own business,

How to win at life,
Step1: let people do what they need to do to make them happy,
Mind your own business and do what you need to do to make yourself happy.
The END
 
Safiii
 
Huyo ndo. Mimi
 
Hujui raha ya kukaa ndani km ninapoishi kusingekuwa na kuchota maji nje wasingeniona maana hadi vyombo tu navioshea ndani na ni raha sana si uchoyo wala ubinafasi imagine walking freely upo tu ww .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu ni zaidi ya uintrovert mimi najiona naongea sana kushinda watu wa humu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu nimejitahidi sana ili nami nibadilike lakini nimeshindwa. Nimejikuta nina marafiki wachache sana. Na uwa ninakellekwa hasa na watu waongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanisema eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui mm nipo wapi nijuzeni wataalam maana mm kwanza kuna majiran zangu nakaa nao uswahilini nymba ziko ero distance lakin hawaijui hata sauti yangu inaskikaje
mtu akiniongelelesha jambo kaama story mala yingi huwa naitikia kwa kichwa tu
sipendi kuongea sana na kiukweli huwa nnamajibu machafu nnapokuwa najalibu kumueleza mtu jambo alafu asinielewe haraka au ajifanye hajaskia nlichosema
napenda sana kuwa peke angu mda mwingi
sipendi kuskiliza mziki wa aina yoyote huwa naskiliza only instrumentals
mwisho sipendi mtu ajue information zangu yaan mm ni nan niko apa kwa sababu gan elimu familia yangu na mambo mengine binafsi yote
 
YOUNGBLOOD,
We are stressed, we think too much, we talk fast than normal human beings. We are lonely, we are dying deep inside. We we we we and we....

- Sérgi
Naongea haraka sana kama na Rap hivi.

Sina friends just associates.

Lawama daily naringa, sijichanganyi blah blah blah

80% ya muda wangu nakuwa mwenyewe, hiyo ilobaki ninavumilia tu kujichanganya na mtu au watu

Napenda wageni ila after the first three minutes natamani asepe

Nilijitahidi kuwa tofauti nimeshindwa, nimejikubali



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee.. Huu uzi!

Kwanza mie nikienda kwa mtu yani mpaka naondoka naona kama kuna vitu nmeboronga kwa muda nlikuwa hapo.

Mpaka sasa hivi sijui kucheza mchezo wowote wa kijamii kama draft, bao, karata, pull table, yani mie hata baiskeli tu sijui kuendesha. Yote hii sababu ya kupenda kukaa peke angu.

Aisee hakuna mtihani mgumu kama kutembelewa na mgeni unaemuheshimu. Mimi hata mtu akiniita kunipa au kuniambia kitu flani huwa napata shida sana.

Hakuna kitu naumiaga kama nmeishiwa sasa nmfuate au nimpigie mtu anipige tafu!

Mungu mwema, sehemu ninayoishi nilichaguliwa mzee wa kanisa tena katika ujana wangu huu, hii imenisaidia angalau kidogo maana mara moja moja lazima usimame mbele ya watu kuongea. Na penyewe kabla ya kwenda kuongea unapata tabu sana tena unafika alafu baadhi ya point zinapotea.

Mke wangu ni muongeaji na huwa ana nisaidia sana hata tukiwa kwenye event flani flani linapokuja suala la mimi kutake place hasa kwenye maombi yeye ndio hufanya kwa Niaba yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…