Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

Naweza pigiwa simu nikaiangalia tu muda mwingine hata ya mtu wangu wa karibu

Sipendi kujaliwa kupita kiasi(ile sense ya kuwa treated special). Naweza kuugua kimya kimya simwambii mtu coz sipendi ile ya kuulizwa unaendeleaje, ungependa nikuandalie chakula gani nk

Nikiwa ndani mtu anaweza kupiga hodi mlangoni hata nusu saa nzima kama sijisikii kuongea siku hiyo nakula buyu

Nina account fb na insta ila nimefollow news channels, Barca na Yanga. Sina rafiki hata mmoja

Sipendi kuwa kwenye maeneo yanayonikutanisha na watu wengi kama vijiweni, Bar, Harusi, Graduation nk. Graduu ya kwanza niliyofanya ni ya A'level baada ya mama kunikomalia maana ndo mwanae wa kwanza kufika level hiyo. Nilipiga picha 1 tu akiwa ananivisha taji nayo nikaja kuificha baada ya kuikuta kwenye albam ambayo wageni wakija ndo wanayopewa kuangalia. Harusi nazohudhulia ni za usiku tu tena nakaa back bench kwenye mwanga hafifu(same thing nikiwa bar). Graduu ya chuo sikufanya kwasababu hizohizo za kusomwa jina kupita mbele za watu nk. Sikuwahi kupresent hata siku moja na sikuwahi kujihusisha na ishu yoyote ya public kama sherehe za class, michezo nk

Kutoka na kurudi home natumia njia ya nyuma sipendi kila mtu aone nimetoka au nimerudi.

Siwezi kubembeleza wala sipendi kubembelezwa niko straight forward. Let say unataka hela kwangu nambie nikopeshe narudisha siku flan(same na ninavofanya), ukiniletea habari za ilikwenda ikarudi nikapata shida nikahitaji hela so naomba unikopeshe sikupi hata mia

Sijawahi kuishi kwa mtu baki

Sipendi mazungumzo marefu iwe kwa kupigiwa simu au kutuma ujumbe usishangae ukajikunja kuandika msg ndeefu ya kuniwish hbd nikajibu Ok.

Sinunui chochote kwa machinga kutokana na ile tabia yao ya kabobo. Mambo mengi staki.

Kwenye daladala au basi napendelea siti ya mbele au ya nyuma dirishani. Sipendi contact sana na watu

Ni baadhi ya tabia nilizonazo mi nikahisi nina matatizo ya akili kumbe ni kawaida na kuna members wenzangu humu!
Tunafanana tabia kidogo,mimi huwa spendi waje wageni alafu kuanza kutambulishana cjui huyu mjomba mara mamdogo no spendi,nilifanya graduu ya form four kwa mbinde na mchango nilitoa siku moja kabla ya tukio, advance na chuo ckufanya graduu,kufanya presentation za chuo ilikuwa kwa mbinde wengi walijua siwezi kuongea mbele ya public kwahyo walikua wananikomoa maybe kunipa paper wakati wa presentation,watu wanaokuja home ambao sio ndugu zetu huwa wanajua mimi ni mgeni au mpangaji na sio mwanafamilia,nina marafiki wachache sana tena sana,huwa spendi kukaa kijiweni kwasababu maongezi mengi huwa naona ni pumba tu cjui mara diamond kafanya hivi,mara bakhresa kamzidi mo dewji,mara nini cjui nk,maisha yangu kiufupi ni usiri mkubwa moja kati ya watunza siri zangu na za wengine Mimi ni mmoja wapo, matokeo yangu kuanzia o level, advance, hadi chuo nilikua nawapa tu watu taarifa kuwa matokeo yapo good na sio mambo ya kuangalia vyeti, nilikua na bahati ya kupendwa na mademu tena wazuri kweli kweli hadi watu wanashangaa nimewapata vipi,simu yangu nikikosa mb za internet huwa mnyonge kuliko kukosa dakika au sms.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nikivuta bangi nakua zaidi ya introvert hua sitaki ata raia yoyote aniangalie machoni naweza badilisha njia Kama mbele Kuna watu wanakuja afu sipendi kuongeleshwa napenda nikae mahalo tuliiiiivu nivute hisia zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
watu huwa wananiambia ili kuondokana na hali ya uintrovent nivute bangi sasa kwa hali hiyo si nitatisha watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunafanana tabia kidogo,mimi huwa spendi waje wageni alafu kuanza kutambulishana cjui huyu mjomba mara mamdogo no spendi,nilifanya graduu ya form four kwa mbinde na mchango nilitoa siku moja kabla ya tukio, advance na chuo ckufanya graduu,kufanya presentation za chuo ilikuwa kwa mbinde wengi walijua siwezi kuongea mbele ya public kwahyo walikua wananikomoa maybe kunipa paper wakati wa presentation,watu wanaokuja home ambao sio ndugu zetu huwa wanajua mimi ni mgeni au mpangaji na sio mwanafamilia,nina marafiki wachache sana tena sana,huwa spendi kukaa kijiweni kwasababu maongezi mengi huwa naona ni pumba tu cjui mara diamond kafanya hivi,mara bakhresa kamzidi mo dewji,mara nini cjui nk,maisha yangu kiufupi ni usiri mkubwa moja kati ya watunza siri zangu na za wengine Mimi ni mmoja wapo, matokeo yangu kuanzia o level, advance, hadi chuo nilikua nawapa tu watu taarifa kuwa matokeo yapo good na sio mambo ya kuangalia vyeti, nilikua na bahati ya kupendwa na mademu tena wazuri kweli kweli hadi watu wanashangaa nimewapata vipi,simu yangu nikikosa mb za internet huwa mnyonge kuliko kukosa dakika au sms.

Sent using Jamii Forums mobile app
mambo ya sherehe za birthdays vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
intevert..wenginee hutuitaa makauzu.kwa kifup tunaziamn akil zetu kuliko kitu chochote dunian...cc tunskubal ushaur
.lakin tukishakuaa na msimamo wet..utashaur sana tutakubali lakn hatutekelez kabs yn

Sent using Jamii Forums mobile app
you are right 100%,mimi hata mtu akiomba ushauri huwa nashangaa huyu mtu mpumbavu nini,utaombaje ushauri kwani wewe huna akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunafanana tabia kidogo,mimi huwa spendi waje wageni alafu kuanza kutambulishana cjui huyu mjomba mara mamdogo no spendi,nilifanya graduu ya form four kwa mbinde na mchango nilitoa siku moja kabla ya tukio, advance na chuo ckufanya graduu,kufanya presentation za chuo ilikuwa kwa mbinde wengi walijua siwezi kuongea mbele ya public kwahyo walikua wananikomoa maybe kunipa paper wakati wa presentation,watu wanaokuja home ambao sio ndugu zetu huwa wanajua mimi ni mgeni au mpangaji na sio mwanafamilia,nina marafiki wachache sana tena sana,huwa spendi kukaa kijiweni kwasababu maongezi mengi huwa naona ni pumba tu cjui mara diamond kafanya hivi,mara bakhresa kamzidi mo dewji,mara nini cjui nk,maisha yangu kiufupi ni usiri mkubwa moja kati ya watunza siri zangu na za wengine Mimi ni mmoja wapo, matokeo yangu kuanzia o level, advance, hadi chuo nilikua nawapa tu watu taarifa kuwa matokeo yapo good na sio mambo ya kuangalia vyeti, nilikua na bahati ya kupendwa na mademu tena wazuri kweli kweli hadi watu wanashangaa nimewapata vipi,simu yangu nikikosa mb za internet huwa mnyonge kuliko kukosa dakika au sms.

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi sikuwahi kufanya graduu mpk nilipofika chuo, na hata hiyo nilifanya baada ya mama kulazimisha sana
wakati nipo form 4 kuna mtu
aliniuliza, we mgeni umeamia eeh wakati tulianza wote form 1
nilikuwa najiona wa tofauti sana ila baadae nikaelewa kwamba watu tunatofautiana
 
Alafu tunakua na something unique km mimi nikifaulu mtihani nafaulu kweli A au B+ na nikifeli nafeli kweli F au D maana nashindwa kuuliza kwa kuona aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
daaa imewahi kunikuta hiyo
na kuna ile ya kuchukuliwa hazipo, nakumbuka niliwahi kumsaidia mtu karibia maswali yote baada ya pepa akaenda kusema kwamba yy ndo kanipa majibu, mimi nikanyamaza
majibu yalivyotoka mimi nina A yeye ana sap, aliowaambia wakabaki wanashangaa
daaa kumbe jamaa alikuwa anachukua majibu alafu anaongezea mbwembwe zake hahah baada ya hapo akawa ananionea aibu sana
 
am introvert too and am proud of who i am,ila tatizo langu kubwa ni kupenda watoto wakali yan dah naweza kuwa na mahusiano na wasichana ata 8 kwa wakat mmoja na wasijuane ata kama wanaishi mtaa mmoja
 
Back
Top Bottom