Kwa wale ambao hawajawahi kufika Bagamoyo, huu ndio muonekano wa Bandarini

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,768
19,303
974398_706465829437970_2045527903_n.jpg
 
Nilikula samaki wa kukaanga hapo, halafu kutoka hapo kwenda kwa mama muuza sio mbali, mwendo wa dakika Tu.
 
Kikwete kweli alikuwa kiongozi anayeona mbali. Yaani miaka 10 ya utawala wa kitalii, haya ndiyo mateso aliyowafanyia wana Bagamoyo kweli? Jamani hivi huyu akishitakiwa, atakuwa na makosa mangapi? Mi naona 199, nyie mnaonaje?
 
Sikua na shida, zaidi nilienda kwa kumsindikiza mshkaji na hakuniambia kwamba anaenda kwa tawila.....
Lakini nili enjoy sana aiseee
Nasikia ukienda na kuku mweusi/mweupe wanachinja halafu hurudi naye maana kiendacho kwa mganga hakirudi. Alinisimulia ndugu mmoja tapeli wa uganga kuwa waganda waliliwa sana naye ila siku alipokamatwa nataka kufanya kitu kibaya na mke wa mtu, ilibidi akimbie usiku kuvuka mpaka.
 
Dahhhh...
Mimi jilio yaona ni magumu sana hata kuyasimulia aiseeee.....
Kwakifupi wale jamaa ni matapele wa hatareee
 
Dahhhh...
Mimi jilio yaona ni magumu sana hata kuyasimulia aiseeee.....
Kwakifupi wale jamaa ni matapele wa hatareee
Kuna mtu aliniambia aliambiwa inabidi afanye na mganga kinyume cha maumbile ili amalize ugumba? spooke kweli hiyo duniani. Je mtoto anapatikana huko? alikataa na yule jamaa after few months he died of Aids.
 
Me Nilifika bagamoyo kipindi cha mkapa na kipindi cha Kikwete sikuamini kama ni mji anaotoka Raisi huku nikisikia paradise hotel zinamilikiwa zipo ovyo japo zimeenda juu
 
Back
Top Bottom