Kwa walambo, shule ya wanaume. Mnafahamu mchonga, baba wa taifa, a geant of the men in Tanzania and in Africa if not in the whole world at large kuwa ni mmoja wa walimu wa Milambo.
Alifundisha Milambo soma la elimu ya viumbe na historia mwaka 1945 mpaka 1949.
Kipindi hicho ikiitwa Mtakatifu Maria. Aliondoka mwaka huo huo kwenda Edinburgh London Uingereza na baada ya kurudi alianza kufundisha Pugu mwaka 1953 ikiitwa mtakatifu Francis.