Kwa wakulima na wafanyabiashara wa zao la dengu

subzero

Member
Jan 15, 2011
86
4
Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri
0625748072
 
Ubapatikana wapi mkuu. Ukukwetu tunaanza kuvuna mwezi wa saba mwishoni.
 
Back
Top Bottom