Kwa wakubwa tu

Kwa wakubwa tu

Mwenzenu nina tatizo siwezi kukaa na mwanamke yoyote katika mapenzi nikimchoka namwacha kama utani.Tatizo hili limekuwa lininitokea mara kwa mara kila msichana nimpendae nikimchoka namwacha tu,naomba ushauri nifanyaje hili hali hii initoke kwani nikimwacha naanza kumkumbuka tena kwani nipo kwenye umri wa kuoa.Na siruki ruki ovyo je tatizo hili linasababishwa na nini.naomba ushauri wa kisaikolojia ili tatizo langu liishe.

kwanza utubu dhambi zako na kuokolewa, pili unatakiwa uende ukaombewe, tatu uoe hizo ni roho chafu za enzi za sodoma na gomora, hakuna mtu aliyetulia na mwanamke mmoja, nne ujiombee wakati wote
 
Yah, ni tatizo ambalo lipo na linaumiza sana, unakuta mtu unataman kuwa na long term relationship ila ukipat mwenza tu na kumgonga basi hamu yote huisha, ebu jaribu kuwa na girl kwa mda wa miezi mitatu au minne bila kufanya nae sex , kama pia utamchok basi ni another topic. Wengine mmeumbwa hivyo automatically




Ni kweli kuna wengine watakuwa waliumbwa kuja kuipamba dunia tu sasa sijui na mleta mada pia yanamuhusu!!
 
Mtoa mada kwanza naomba kuuliza huwa unaota ndoto gani?

Maana icje ikawa ni spiritual wife yupo kazini na huwa wanahakikisha huwi na mahusiano wala huoi
 
Kwanza hujapata unaye mpenda kwa dhat, hao unao dhani unawapenda sio kweli kwamba unawapenda, ni tamaa tu ya game , hivyo dawa ya tatizo lako upate unaye mpenda huto muacha.kabisa
 
Back
Top Bottom