Mwenzenu nina tatizo siwezi kukaa na mwanamke yoyote katika mapenzi nikimchoka namwacha kama utani.Tatizo hili limekuwa lininitokea mara kwa mara kila msichana nimpendae nikimchoka namwacha tu,naomba ushauri nifanyaje hili hali hii initoke kwani nikimwacha naanza kumkumbuka tena kwani nipo kwenye umri wa kuoa.Na siruki ruki ovyo je tatizo hili linasababishwa na nini.naomba ushauri wa kisaikolojia ili tatizo langu liishe.