kwa wakinadada 2


mbona umenitelekeza bafuni
na ndoo yangu ya maji ya kuoga
nimeyaunga na iliki na tangawizi kabisa??

 

hahahaaa!!afu huyo kokushubila
niliambiwa ndio anamuiba kaka ako
yani hana bahati!!nishanunua uchawi!!ni kuroga tu!!
 
Last edited by a moderator:

yani dawa yako nikufunge mita tu
ukitoka ukacheza rafu inasoma!
 
Wifii wifi wifiiiiiii.....

Huyo uliyemuona labda KOKUSHUBILA.
Mimi na @li79 tuko busy km tai na shati, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono...HAKATWI MTU HAPA
Baby wala asikupe presha huyo...
Ana kawivu kwa mbaaaali..
Btw, nitakunong'oneza badae!!!
 
Baby wala asikupe presha huyo...
Ana kawivu kwa mbaaaali..
Btw, nitakunong'oneza badae!!!

Sina presha nae huyo, majungu kafanya mtaji.

Mimi penda wewe....nakusubiri uninong'onezeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…