Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Kuna mtu anawindwa hapa....
dume la mbegu hilo!
sambaza mbegu baba!!
hahahaaa!!
Dume wapi mbona unakiwowowo kikubwa hivyo embu mchumuni mwenzenu ajisikie raha
hahahaaaa...... Tatizo nilifumba macho nikajua hamnioni, kumbe mi ndo sioni hahahaa....!
hahahaaaa....... Ngoja niweke lindo wakijipitisha tu ninao!
Halafu mimi tu ndo niko lindo na wewe!
yule jamaa ako atakoma aisee!
nakula hadi mifupa!!
Nimekufuma ukiwa unakimbia
ningejua ningekimbia kinyumenyume
hivi pal, unaishii los angeles mtaa gani vile?
mi niko hollywood boulevard!
nikikwambia hadharani ni majanga
njoo chemba nikwambie!!unataka uje
kunitembelea mwaka mpya?
angalia dogo usije kimbia na boxer mkononi.... Hahahaa!
Ndo ushachelewa dadaake jamani! mambo mengine vipi lakini?
kwa kirungu kipi ulichonacho? teh!
bunduki ninayo mimi bana, we utashikilia kirungu tu always na kukizungusha zungusha!
teh!
yaah! nataka nipangue kikosi bana new year tuanze as new people in new york!
pendaga sana we ntoto!
yaah! nataka nipangue kikosi bana new year tuanze as new people in new york!
pendaga sana we ntoto!
afu wewe hebu sema hapa hapa
mimi, yule na yule wamtaka nani ebooo!!
hahahaaa.... Halafu wee nshakujua....!!!