mi dume nilikua napita
nikajikwaa tu!!
mi dume nilikua napita
nikajikwaa tu!!
mi dume nilikua napita
nikajikwaa tu!!
hata mie ni dume ngoja nipite tu
afadhali!
maana dar, sijui nani angeamua huu ugomvi wa leo!
hahahaaa!!pacha weee, tujipitie sie!!hata mie ni dume ngoja nipite tu
hahahaaaa!! kabanga umeingia MMU!!eh.....ameingia wapi hapa ....?
hivi pal, unaishii los angeles mtaa gani vile?
ahahahaaa!!ungekuta bonge
ya busu hapo lolz!!
hata mie ni dume ngoja nipite tu
dume la mbegu hilo!
sambaza mbegu baba!!
hahahaaa!!
we excel hii thread ni special kwa ladies nn kimekuleta humu?!
jaman kwa wakinadada me nlikuwa nataka mnichumu 2 bac na roho yangu itafurahi
we, we, we!!! kisa ni wadada tu ndo wake zetu waharibikie humu!
lazima tuwafunge cctv camera na ikibidi tuwatoke nyuma!!
by the way, wewe unavaa bikini? teh!
nimeingia katika hii thread kwa bahati mbaya kaka vp unatafuta nn humu?