Asipo sukuma hyo kete bas keshafungwa supa,kwa upande mwengine kwa hizo step wa blue asipokuwa makin anatoa drooHapo inatakiwa acheze kete nyekundu ya kwanza kushoto, kisha ya pili inayofuatia, kisha ya tatu inayofuatia. Baada ya hapo anaenda kingi na kete ya pili kucheza kutoka kwenye mtililiko wa mwanzo.
Hii mbona sare kabisa...! Afungwi mtu hapoNi zamu ya mwenye kete nyekundu kucheza,atajinasua vip na supa apo?
Hii mbona sare kabisa...! Afungwi mtu hapo
kinyoso gameInategemea wanacheza mchezo gani, kama ni ule wa kula mbele na nyuma, basi shughuli ni nzito...
Hamna sare hapo ya kete 3 kwa 6 labda huyo wa blue awe kilaza......hapo lazima alishe hizo mbili ndo ajitahid kufika King....so zitabaki 3 mwenzie 6....labda ucheze pekeako wajionea huruma.Hii mbona sare kabisa...! Afungwi mtu hapo
Kweli unalijua drafti mkuuHapo inatakiwa acheze kete nyekundu ya kwanza kushoto, kisha ya pili inayofuatia, kisha ya tatu inayofuatia. Baada ya hapo anaenda kingi na kete ya pili kucheza kutoka kwenye mtililiko wa mwanzo.
kumaliza mchezo hapo ni kuvurugua tu napiga draft kete kule mchezo kwishneh!Ni zamu ya mwenye kete nyekundu kucheza,atajinasua vip na supa apo?
watu wanakupangia kete tena kama zilivyokuwakumaliza mchezo hapo ni kuvurugua tu napiga draft kete kule mchezo kwishneh!
ha ha! kwani lzm kucheza..?watu wanakupangia kete tena kama zilivyokuwa
Lakini sio superHuyo akubali yaishe, keshafungwa