Kwa wakali wa draft

geometry

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
466
356
Ni zamu ya mwenye kete nyekundu kucheza,atajinasua vip na supa apo?
03f806f6af12f4d9f1531ba2de9a9226.jpg
 
Hapo inatakiwa acheze kete nyekundu ya kwanza kushoto, kisha ya pili inayofuatia, kisha ya tatu inayofuatia. Baada ya hapo anaenda kingi na kete ya pili kucheza kutoka kwenye mtililiko wa mwanzo.
Asipo sukuma hyo kete bas keshafungwa supa,kwa upande mwengine kwa hizo step wa blue asipokuwa makin anatoa droo
 
Hapo inatakiwa acheze kete nyekundu ya kwanza kushoto, kisha ya pili inayofuatia, kisha ya tatu inayofuatia. Baada ya hapo anaenda kingi na kete ya pili kucheza kutoka kwenye mtililiko wa mwanzo.
Kweli unalijua drafti mkuu
 
watu wanakupangia kete tena kama zilivyokuwa
ha ha! kwani lzm kucheza..?
hapo unaweza kwenda king lkn kuna kete unatakiwa uzitoe sadaka ili moja iiende okay hata ikienda hiyo king moja what will help you zaidi ya kutapatapa kama mfa maji!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom