Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,648
Sasa financial discipline ni kwa wakaka tu?
shukuru mungu ulianza na nyumba mkuu ungeanza na gari kiwanja tu ungekuwa unakisikilizia kwenye magazetikwa dar gari c sehemu ya starehe km unavyofikiri mm sina mkoko nilianza na nyumba nitamalizia na carina! ila siwezi kumshangaa junk yyte aliyeamua kuanza na gari hili jiji lina kero mbaya kubanana kwenye daladala, wizi nk! hata mm mjengo siumalizii tena ni bora ninunue ndinga finishing nitafanya taratibu! ingelikuwa daladala unazosema km za Kenya au brazaville ambazo ni level seat hapo ningekuelewa lkn hiza dala2 za bongo mmhhh!
= Scraper umeshatumika vya kutosha unategemea utaishi na nani? tunashauliwa kujiahadhali na used goods.umri wako jumlisha kumi
hudaiwi na bayport wewe?
Ndio .
Kwanini mnatulisha hela kharamu na za wasiwasi
Mnataka tulaaniwe
mkuu heshima ni kitu cha bure= Scraper umeshatumika vya kutosha unategemea utaishi na nani? tunashauliwa kujiahadhali na used goods.
Wao za kwao ni Salon, kujilemba, na kwenda kupeleka pesa upande wa wazazi wake halafu Mwanamume ufanye kazi ya kuligharamia janamke zima lenye kipato chake.Sasa financial discipline ni kwa wakaka tu?
aoke tutazunguka taasisi zote za hela mjini hapa tuhakikishe au nitaweka private detective aniangalizie hili swala
Wao za kwao ni Salon, kujilemba, na kwenda kupeleka pesa upande wa wazazi wake halafu Mwanamume ufanye kazi ya kuligharamia janamke zima lenye kipato chake.
tunaweza lakini kwa vile mnatulazimisha kula vyenu tunawasaidia kwanza
'Wao'...ndo wakina nani????Wao za kwao ni Salon, kujilemba, na kwenda kupeleka pesa upande wa wazazi wake halafu Mwanamume ufanye kazi ya kuligharamia janamke zima lenye kipato chake.