kwa wakaka wa kitanzania tu

kwa dar gari c sehemu ya starehe km unavyofikiri mm sina mkoko nilianza na nyumba nitamalizia na carina! ila siwezi kumshangaa junk yyte aliyeamua kuanza na gari hili jiji lina kero mbaya kubanana kwenye daladala, wizi nk! hata mm mjengo siumalizii tena ni bora ninunue ndinga finishing nitafanya taratibu! ingelikuwa daladala unazosema km za Kenya au brazaville ambazo ni level seat hapo ningekuelewa lkn hiza dala2 za bongo mmhhh!
shukuru mungu ulianza na nyumba mkuu ungeanza na gari kiwanja tu ungekuwa unakisikilizia kwenye magazeti
 
= Scraper umeshatumika vya kutosha unategemea utaishi na nani? tunashauliwa kujiahadhali na used goods.
mkuu heshima ni kitu cha bure
mi sio type hiyo unayodhani
sitafuti chochote humu
nilivosema jumlisha kumi nilishaona akili yako ilivofupi nadhani upo nursery school
 
Wao za kwao ni Salon, kujilemba, na kwenda kupeleka pesa upande wa wazazi wake halafu Mwanamume ufanye kazi ya kuligharamia janamke zima lenye kipato chake.

Huo upuuzi mimi ndiyo siupendi kabisa na potelea mbali niitwe mbinafsi. Shyyyyt.
 
Wao za kwao ni Salon, kujilemba, na kwenda kupeleka pesa upande wa wazazi wake halafu Mwanamume ufanye kazi ya kuligharamia janamke zima lenye kipato chake.
'Wao'...ndo wakina nani????
 
Smile mfano mimi ni bf wako nakufata na bajaji tutoke na Nyani Ngabu anakufata na Prado at the same time huwezi kuniambia kaka yako kaja mnaenda kwa shangazi na itakuwa noma nikija kwako/kwenu?
 
gari ni kisu cha mwanaume kuchinjia wanawake na haijalishi rich poor ama middle class wanawake wanapenda mwanume mwenye usafiri....outing demu utampandisha dala wakati shosti wake wananesa kwenye vitz...gari uleta comfort kwenye kudate
 
Back
Top Bottom